Tunaitakia Yanga kipigo kizito toka kwa USM Alger

Tunaitakia Yanga kipigo kizito toka kwa USM Alger

Na this time around tunawatumia mvua ya mawe ya uzani wa ratili kadhaa.
Mzigo huu hapa unatoka Tripoli Libya kwenda Algiers Algeria kwa kazi maalum this week end.
FB_IMG_1685614255189.jpg
 
Uzuri wa chumbani mtu yoyote anagongwa tu[emoji28], Haijalishi wewe ndio mwenye chumba au Lah!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chumbani kwa mwenzio ndo unagongwa zaidii
 
View attachment 2641090

Mimi na wenzangu tunaitakia USM Alger ushindi mzito wa kuanzia goli 3. Hawa Utopolo wakipigwa hata 6 tutafurahi zaidi. Wapigwe mpaka wasahau kama wamefika fainali. Kiwe ni kipigo cha aibu kuu itakayodumu miaka mitano.

Wapigwe magoli ya chenga za maudhi kama ya Chama au mishuti mama mkanye mwanao kama Kibu Denga.

Hata USM Alger wana Mungu, acheni kujimilikisha Mungu. Mungu ibariki USM Alger
Si jambo la ajabu wachawi kuchukia mafanikio ya wenzao..!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]سينسنييمطييويطططوييويووويويوطووووووKIBWANA SHOMARI MOCHWARI [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
YANGA ni aina ya wanaume marijali tunaojua kuinamisha vijana wapuuzi wasio jitambua... YANGA haipiti siku haijatajwa na wanaume washika ukuta
 
Back
Top Bottom