Tunaitakia Yanga kipigo kizito toka kwa USM Alger


Alafu sasa hawataki kukubali wamefungwa na watafungwa huko waendako...... eti wanasema aucho hakuwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa sijui uko atakuwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tujuane timu Algers[emoji1364]
 
Watu wote na tuseme Amen🙏🏾
 
Hawa waarabu weusi bana huwa wanajiona ni waja wa mekka na madina 😁😁😁
Kwahiyo sisi ni waarabu weusi, 😃😃😃😃 mkuu unatukosea Sana sisi waarabu wa Zanzibar.
 
Ni mara chache sana kuona maskin anamuombea heri tajiri. Ila MUNGU ni WA ajabu na wapekee sana. Wanayanga wenzangu kazi iwe ni kuomba Dua njema Kwa ajili ya mechi iliyobaki, tutayajibu badaye.
 
Na this time around tunawatumia mvua ya mawe ya uzani wa ratili kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…