Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Wana ccm mafisadi si ndio kina Lowassa tuliowapa kugombea urais!Leo hii amesahau kuwa alikuwa sio wa kujumuika na wanaCcm mafisadi na wazurumati? Kwa ajili ya tumbo lake.
😂😁 ilikuwa big mistakeWana ccm mafisadi si ndio kina lowasa tuliowapa kugombea urais!
Nado mlango uko wazi sisi kama watanzania wazalendo hatuhitaji mafisadi waone takukuru haraka watuondolee fisadi huyuList of shame wakati inatolewa mwembe Yanga ulikuwa umezaliwa? Unadandia mada ambazo ni za wakubwa, kaa kimya.
Fikiria majina ambayo angebatizwa Zitto kama fisadi lowasa lingegombea ACT.😂😁 ilikuwa big mistake
Zitto ni msaka fursa wala hana loloteZitto amepuuzwa sana na watanzania wapinga uonevu na ufisadi.
Ukikumbuka enzi zile anaibua madudu mpaka mzee Karamagi akajiuzulu kwa kusaini mkataba wa Buzwagi akiwa ulaya, sio huyu Zitto wa leo...
Kati ya watu wote waliouga juhudi za Raisi mkono tangu enzi za mwandazake ni wanafiki? Kwanini unamtoa zitto peke yake? Muacheni chuki zenuZitto amepuuzwa sana na watanzania wapinga uonevu na ufisadi.
Ukikumbuka enzi zile anaibua madudu mpaka mzee Karamagi akajiuzulu kwa kusaini mkataba wa Buzwagi akiwa ulaya, sio huyu Zitto wa leo...
watu wa kigoma ndo walivyo.ni wanafiki sana na pia hawana cedibility.ni wabinafsi na wapenda madaraka sana.muha mpe cheo mnyime mshahara.hao ni wachumia tumbo.Zitto amepuuzwa sana na watanzania wapinga uonevu na ufisadi.
Ukikumbuka enzi zile anaibua madudu mpaka mzee Karamagi akajiuzulu kwa kusaini mkataba wa Buzwagi akiwa ulaya, sio huyu Zitto wa leo...
NdioWana ccm mafisadi si ndio kina Lowassa tuliowapa kugombea urais!