Tunajifunza nini juu ya unafiki wa Zitto Kabwe? Kutoka mwanasiasa aliyejinasibu kupinga ufisadi hadi kuwa kibaraka wa mafisadi

Tunajifunza nini juu ya unafiki wa Zitto Kabwe? Kutoka mwanasiasa aliyejinasibu kupinga ufisadi hadi kuwa kibaraka wa mafisadi

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Zitto amepuuzwa sana na watanzania wapinga uonevu na ufisadi.

Ukikumbuka enzi zile anaibua madudu mpaka mzee Karamagi akajiuzulu kwa kusaini mkataba wa Buzwagi akiwa ulaya, sio huyu Zitto wa leo.

Leo hii amesahau kuwa alikuwa sio wa kujumuika na wanaCcm mafisadi na wazurumati? Kwa ajili ya tumbo lake.

Je, ndio viongozi wa upinzani wote wana unafiki kama Zitto?

Je, wote ni walewale?

Watu kama Zitto enzi za manabii walikuwa wanapopolewa mawe.
 
Peleka ushahidi mahakamani hatutaki mafisadi nchini hapa.

Au anzia takukuru
 
List of shame wakati inatolewa mwembe Yanga ulikuwa umezaliwa? Unadandia mada ambazo ni za wakubwa, kaa kimya.
Nado mlango uko wazi sisi kama watanzania wazalendo hatuhitaji mafisadi waone takukuru haraka watuondolee fisadi huyu
 
Muacheni Zitto wa watu apumzike, kama Lowassa alipigwa msasa akatakata na kugombea urais.

Zitto ni msafi sana
 
Zitto amepuuzwa sana na watanzania wapinga uonevu na ufisadi.

Ukikumbuka enzi zile anaibua madudu mpaka mzee Karamagi akajiuzulu kwa kusaini mkataba wa Buzwagi akiwa ulaya, sio huyu Zitto wa leo...
Kati ya watu wote waliouga juhudi za Raisi mkono tangu enzi za mwandazake ni wanafiki? Kwanini unamtoa zitto peke yake? Muacheni chuki zenu
 
Zitto amepuuzwa sana na watanzania wapinga uonevu na ufisadi.

Ukikumbuka enzi zile anaibua madudu mpaka mzee Karamagi akajiuzulu kwa kusaini mkataba wa Buzwagi akiwa ulaya, sio huyu Zitto wa leo...
watu wa kigoma ndo walivyo.ni wanafiki sana na pia hawana cedibility.ni wabinafsi na wapenda madaraka sana.muha mpe cheo mnyime mshahara.hao ni wachumia tumbo.
 
Back
Top Bottom