Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Zitto amepuuzwa sana na watanzania wapinga uonevu na ufisadi.
Ukikumbuka enzi zile anaibua madudu mpaka mzee Karamagi akajiuzulu kwa kusaini mkataba wa Buzwagi akiwa ulaya, sio huyu Zitto wa leo.
Leo hii amesahau kuwa alikuwa sio wa kujumuika na wanaCcm mafisadi na wazurumati? Kwa ajili ya tumbo lake.
Je, ndio viongozi wa upinzani wote wana unafiki kama Zitto?
Je, wote ni walewale?
Watu kama Zitto enzi za manabii walikuwa wanapopolewa mawe.