Tunajikumbusha kidogo tu ili kuweka kumbukumbu sawa

Tunajikumbusha kidogo tu ili kuweka kumbukumbu sawa


Tony Kapola anasema huwezi kuwa zaidi ya tabia yako. Tunashindwa nini kuwa na tabia nzuri?
 
uzi mzuri sana.
Enzi hizo SAY na Mbaraka Mwinshehe ni km KIBA na MOND kwa sasa
 
Anatusimuli maggid

Bongo Hapo Zamani… Na Sasa…

Picha ya kwanza niliipiga mwaka 1986. Ya pili ni ya leo, 2023. Kituo ni hicho hicho, Posta ya Zamani, na miti ya mikungu ingalipo. Lakini, mazingira yamebadilika.

Maggid

PS:

Hizo zilikuwa zama za usafiri wa chai-maharage. Tangu zama hizo, nikiwa mdogo sana, nilitamani sana kupiga picha na kuzihifadhi zije kuwa kumbukumbu. Napenda sana historia.
Naam, tuliopanda chai-maharage tutambuane.
View attachment 2664549View attachment 2664550
Umenikumbusha 1986, ni mwaka nilio hitimu elimu ya msingi.
 
Back
Top Bottom