Wanaume naomba niwaulize kitu kimoja,
Kwanini mnaumia sana sisi kujiremba? Yaani nafanya kazi, natengeneza pesa, naenda saluni natengeneza nywele zangu, nabandika kucha, naweka kope zangu za bandia kwa pesa zangu. Mwanaume anatoka huko roho inamuuma eti "Akina dada wanajiremba sana, ooh sipendi wanawake wanaoweka weaving.. blah blah"
View attachment 595361
Jamani kwani mwili wako? Kwani pesa zako? Kwani mimi mwanamke wako? Kwani mimi ndugu yako?
Hebu tuacheni jamani, ni mapenzi yetu na gharama zetu.