Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Tatizo mnavyojiremba, vitumbua vyenu ndivyo vinapata shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti atakayekasirika anye tikitiKujiremba sawa mjirembe maana mnatuvutia but soooooo!!!!! Feki kwa kweli kama unataka nywele ndefu basi zifuge weka dawa za kurefusha unataka kucha ndefu fuga but uwe msafi msitulishe maviiiiii.
Kina chokora ni ufeki ufeki mnasuka mikatani kichwani nywele za watu waliokufa minywele inakaa mwezi mzima kichwa na kichwa hakioshwi hadi yatoke kutwa nzima kujikunakuna tu kichwa na makucha marefu Daaaah aaarghhh!!!
Wengine sasa wanapaka milipstiki, mimekapu wanatoka utadhani jini Maimuna au katuni fulani hivi amaizing!!!! Hahahahahah wanawake Mnatabu sana.
Napenda mwanamke alie nachuro na urembo kidogo tu ila sio kama watu fulani yaani ukimwona unatamani utapike.
Wanawake mniwie radhi ila ukweli lazima usemwe hata kama hamtaki.
Atakaye kasirika anye tikitiki.
na hayo marembo yotee kwa ajiri ya nani akuone..??..ngedere au tumbiri ndio unaowarembea..??. la hasha ni wanaume ili wakuone mrembo na wavutiwe na wewe maana ninyi ni mapambo kwetu...sasa hao mnaojiremba kwa ajiri yao wamechoshwa na kujiremba kwenu kulikopitiliza mpakankero kiasi mnaonekana kama wadori..!!!! hayo mambo mengine ya kujilinganisha na wanaume ni utashi wenu tuu.....Wanaume naomba niwaulize kitu kimoja,
Kwanini mnaumia sana sisi kujiremba? Yaani nafanya kazi, natengeneza pesa, naenda saluni natengeneza nywele zangu, nabandika kucha, naweka kope zangu za bandia kwa pesa zangu. Mwanaume anatoka huko roho inamuuma eti "Akina dada wanajiremba sana, ooh sipendi wanawake wanaoweka weaving.. blah blah"
View attachment 595361
Jamani kwani mwili wako? Kwani pesa zako? Kwani mimi mwanamke wako? Kwani mimi ndugu yako?
Hebu tuacheni jamani, ni mapenzi yetu na gharama zetu.
hahahahaaaaa! KIBAMIA SPEAKSNa mnapoumia kwa VIBAMIA vyetu huwa inakuwa ni nini?
Ingekuwa tunajiremba kwa ajili ya wanaume tungeacha maana wao kutwa kutusakama. Ila tunajifanyia sisi wenyewe ndo maana tunaomba tuachwe tu..na hayo marembo yotee kwa ajiri ya nani akuone..??..ngedere au tumbiri ndio unaowarembea..??. la hasha ni wanaume ili wakuone mrembo na wavutiwe na wewe maana ninyi ni mapambo kwetu...sasa hao mnaojiremba kwa ajiri yao wamechoshwa na kujiremba kwenu kulikopitiliza mpakankero kiasi mnaonekana kama wadori..!!!! hayo mambo mengine ya kujilinganisha na wanaume ni utashi wenu tuu.....
kwa hiyo ndi hivyooooo......
Ingekuwa tunajiremba kwa ajili ya wanaume tungeacha maana wao kutwa kutusakama. Ila tunajifanyia sisi wenyewe ndo maana tunaomba tuachwe tu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] msimulia mvua!??....ETI WANAJIREMBA KWA PESA ZAO,VIBOMU KILA SIKU VYA NINI SASA??!!
Changu kisa makeup tu? Aisee nimeamini its a man's world, kila jumba bovu linaangushiwa kwa wanawakekuachwa huwezi kwa sababu hii ni societal issue sio ya wanawake pekee. unapofanya au unapoacha kufanya jambo Fulani kama mwanamke lazima liatttract attention ya wanaume. sasa ni uchaguzi wenu tu kama kufanya yatakayokuwa na positive effect kwenu au negative ones. mfano ukijiremba namna Fulani mwanamme akakuchukulia wewe changu (kama kwenye main photo) usimlaumu. na ukijipaka mafuta ya wastani nikakuona mke wa mtu nikakuheshimu shukuru tu.
Unapoongelea wanaume kuwa specific kwa kundi la hao wanaume, wataje ili usituhumu kwa jumla jumla kama mtu ambaye hana elimu. Kwa maana unaweza kushutumu wanaume jumla wakati kuna wengine ambao hata hatujui kama mpo duniani.Wanaume naomba niwaulize kitu kimoja,
Kwanini mnaumia sana sisi kujiremba? Yaani nafanya kazi, natengeneza pesa, naenda saluni natengeneza nywele zangu, nabandika kucha, naweka kope zangu za bandia kwa pesa zangu. Mwanaume anatoka huko roho inamuuma eti "Akina dada wanajiremba sana, ooh sipendi wanawake wanaoweka weaving.. blah blah"
View attachment 595361
Jamani kwani mwili wako? Kwani pesa zako? Kwani mimi mwanamke wako? Kwani mimi ndugu yako?
Hebu tuacheni jamani, ni mapenzi yetu na gharama zetu.
sina hakika kama ni man's world. I would say it's a people's world. unajua men are given birth by women sasa sijui ni at what stage women forget to train their boyz into the right attitude. only to come and blame men. bora tu tuchukulie life is like that. but you can't easily change what a man wants to perceive in a woman at the first glance, make up included.Changu kisa makeup tu? Aisee nimeamini its a man's world, kila jumba bovu linaangushiwa kwa wanawake
Asante kwa contradiction ya karne.Unapoongelea wanaume kuwa specific kwa kundi la hao wanaume, wataje ili usituhumu kwa jumla jumla kama mtu ambaye hana elimu. Kwa maana unaweza kushutumu wanaume jumla wakati kuna wengine ambao hata hatujui kama mpo duniani.
Tuko busy na wake zetu.
Na wengine mkijiremba mnatokea kama manyonya damu ya kwenye movies za kutisha za Dracula.
Sasa mtu ukijiremba na kuonekana kama mnyonyadamu wa kwenye movie za kutisha, kibwengo cha ajabu au kinyamkela cha uchawi, ukatisha watu wapate ndoto mbaya, wakikusema wana haki ya kukusema.
Apparently hyperbole is your middle name.Asante kwa contradiction ya karne.
Pesa ikifika mikononi mwangu ni yangu, haijalishi ni wapi imetoka!Mnapesa nyinyi? Tunajua mnakozipata ila sio zenu
Anyway...urembo ulitoka kwa ajili ya wasiokuwa warembo,kinyume chake ni kwamba ambaye ni mrembo wa asili hahitaji urembo wa bandia!Wanaume naomba niwaulize kitu kimoja,
Kwanini mnaumia sana sisi kujiremba? Yaani nafanya kazi, natengeneza pesa, naenda saluni natengeneza nywele zangu, nabandika kucha, naweka kope zangu za bandia kwa pesa zangu. Mwanaume anatoka huko roho inamuuma eti "Akina dada wanajiremba sana, ooh sipendi wanawake wanaoweka weaving.. blah blah"
View attachment 595361
Jamani kwani mwili wako? Kwani pesa zako? Kwani mimi mwanamke wako? Kwani mimi ndugu yako?
Hebu tuacheni jamani, ni mapenzi yetu na gharama zetu.
WambieWanaume naomba niwaulize kitu kimoja,

Hatuna malengo na nyumba ndogo zaidi ya kugegeda tu uhangaike nae wa nini na akizingua una anzisha nyumba ndogo ingineDo what you want as long as kinakupa furaha. Unakuta lidume halitaki ujirembe lakini nyumba ndogo zake na michepuko wanajiremba balaa. Ni wakati sasa wa kuwapuuza hawa watu.