Tunajiremba kwa pesa zetu, kinachowaumiza wanaume ni kipi?

Tunajiremba kwa pesa zetu, kinachowaumiza wanaume ni kipi?

Mimi sasa hivi nata nionekana mzuri Kwa wanawake halafu ntakua nawachinja kimya kimya. Hata wakifanya mambo ya hovyo ntasifia, wakipotoka ntawaunga mkono. Mimi huwa nashindwa Kuvumilia huu upuuzi wa mawigi kitu ambacho kinanikosanisha na Marafiki. Sasa nmejifunza mwendo Mdundo kila kitu sawa..sawa...sawa...ili warembo wafurahi nami nianze kusifiwa na Kumissiwa. I miss you figganigga leo nimebadika kucha na wigi na makeup, nmependeza sana.. Nasema umependeza sana, pembeni nang'ong'a na kutema mate bora liende.
Ahahahaaaaaa daah haya banah
 
Nakumbuka mwaka jana nilisafiri kwenda kwenye hilo jiji la bashite,basi bhana nilibahatika kukaa seat moja na binti mmoja, ni mzuri kwa kweli ila ss kilichonichefua kwake ni kiharufu kilichokuwa kinatoka kwenye hayo manywele(wigi),kwakweli sikupata hata hamu kumtongoza,tumefika ubungo tukabadilishana baada kama siku akaanza kunisumbua mara upo wap nije kukusalimia ila ss nikifikiria kile kiharufu inabid nimdanganye nipo busy
 
We do it for us, and for our fellow women.
Hahahahahahah

Hakuna hii kitu ni wazi wanawake wote duniani wanajiremba kwa ajili ya wanaume mnavaa nguo nzuri ya ajili yetu mtuvutie .hahahahah


Kwa kifupi mpo kwa ajili yetu sio sisi kwa ajili yenu yaani mpo kwa ajili ya kukutimizia mahitaji yetu ya deep down
 
Ahahahaaaaaa daah haya banah

Alibandika kucha, sasa kucha zake za asili zimeanza kung'oka. Na sasa hivi mpenzi wake ndo anamuuguza na kumpelekea juice na kumpa pole. Mara ya kwanza alimkataza asibandike kucha akamjibu majibu ya ajabu.
29a3af48dc47c875675b49a8770a8af7.jpg
cf9ba35857de1e97e80a347993991b93.jpg
 
Alibandika kucha, sasa kucha zake za asili zimeanza kung'oka. Na sasa hivi mpenzi wake ndo anamuuguza na kumpelekea juice na kumpa pole. Mara ya kwanza alimkataza asibandike kucha akamjibu majibu ya ajabu.
29a3af48dc47c875675b49a8770a8af7.jpg
cf9ba35857de1e97e80a347993991b93.jpg
Ndio hivyo maisha kuvumiliana tuu, ambacho hukipendi mwenzio anakipenda, ukipendacho wewe mwenzio hakipendi.
 
Ok pole sana, next time atajitahidi kuuliza kwa weledi. Ila na wewe uwe mvumilivu maana hata kumuelewa pia ni uvumilivu, tuvumiliane tuu hakuna namna.
Kuna vya kuvumulia, halafu kuna idadi ya kuvumilia, mwisho 7 X 70 tu ... unapotaka uvumiliwe ya ya 8 X 70 au mara ya 7 X 71 ni shida..
 
Wanaume naomba niwaulize kitu kimoja,

Kwanini mnaumia sana sisi kujiremba? Yaani nafanya kazi, natengeneza pesa, naenda saluni natengeneza nywele zangu, nabandika kucha, naweka kope zangu za bandia kwa pesa zangu. Mwanaume anatoka huko roho inamuuma eti "Akina dada wanajiremba sana, ooh sipendi wanawake wanaoweka weaving.. blah blah"

View attachment 595361

Jamani kwani mwili wako? Kwani pesa zako? Kwani mimi mwanamke wako? Kwani mimi ndugu yako?

Hebu tuacheni jamani, ni mapenzi yetu na gharama zetu.

it's not my problem hata ukijipaka kinyesi lakini kuna shida mbili.
1. you are a bad influence to our young daughters who cannot tell left from right and they might thing kujipaka kinyesi ni umaridadi
2. and most important we take you for cheap sex dolls in that state. shida inakuja when I treat you like a sex doll unasema I am a sex doll on my own bill. sex dolls are to be treated like sex dolls problem comes when you push me away when I try to treat you like a sex doll.
 
Hahahahahahah

Hakuna hii kitu ni wazi wanawake wote duniani wanajiremba kwa ajili ya wanaume mnavaa nguo nzuri ya ajili yetu mtuvutie .hahahahah


Kwa kifupi mpo kwa ajili yetu sio sisi kwa ajili yenu yaani mpo kwa ajili ya kukutimizia mahitaji yetu ya deep down
Si kweli...tunafanya kwa ajili yetu wenyewe...
 
Back
Top Bottom