Tunajiremba kwa pesa zetu, kinachowaumiza wanaume ni kipi?

Hatuna malengo na nyumba ndogo zaidi ya kugegeda tu uhangaike nae wa nini na akizingua una anzisha nyumba ndogo ingine
Sawa tu mkuu, tumeshakubaliana na hali. Tuishi hivyo hivyo. Hata sie nyumba ndogo tunazo, tuvumiliane!
 
Mnajiremba sura mwisho wa siku papuchi ndio mnaiponza na yenyewe inailaumu sana sura kwa hilo
 

Asilimia kubwa wanaomba hela ya kujiremba, na pengine hata kupunguza hela ya matumizi ya familia, nadhani ndio ambapo wanaume wanalalamika, halafu ukija kuangalia huo urembo wenyewe ni wa kipuuzi, mtu anakuwa kama jini.
 
Dah...nywele feki...kucha feki....makalio feki......nyusi feki.....feki ..feki.....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kila mwanaume ana mapenzi yake.

Wapo wanaopenda binti ajirembe hivyo,wapo wanaopenda hata wanaojichubua nk. Msilazimishane mtu apende unachopenda kama mtu kaamua kuonekana kama msukule si ni maamuzi yake!
 
Una pesa wew?
 
Mbona sisi tukinywa bia zetu nyinyi mnamaindi na kutuita walevi, kwani ni hela zenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…