Tunajua Mengi tunanyamaza, Lissu kudharau Mamlaka ya Ikulu kumefanya kufifisha juhudi zilizopangwa na Rais Samia kuleta maridhiano

Who is Tundu Lissu to say our president is incapable?!!

Who is he by the way?!!!

Deluded chap?

Psychopath?!!!

How would one treat this guy nicely while he got bad tough.....

It is havoc......

SIEMPRE URT!
Tukisema tundu lisu upstairs hakukosawa #dishlimetilt tunapigwa ban, sijui sasa tusemeje?
Huyo jamaa hafai hata kuwa kiongozi wa mtaa, inashangaza hata chadema kuendelea kumtumia wakitegemea atawafanikishia kitu cha maana.
He's a hopeless delusional dude
 
Duh! Yaani Zerro ndiyo wa kumshauri rais?
Aliyeshindwa hata kushauri maafisa wake wajifunze PGO leo anashauri suala la kisiasa kwa kumbambikia Mbowe kesi,tumelogwa na Marehemu.
 
Samia awe macho. Maridhiano kwa hawa vibaraka maana yake tuache kuendesha nchi yetu kwa msingi wa kutaka maendeleo ya umma. Je hii serikali ya mama samia iko tayari kwa hilo? Maana huo ndio msingi wa itikadi ya ccm.
Ushauri ni mama samia kuacha kusikiliza hii lugha ya maridhiano.. kwanza hakuna kutoridhiana nchini tanzania. Wananchi solidly wako na ccm.
Upinzani ni kete dhaifu ya mabeberu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah kweli huyu ni mlevi mmoja nimecheka kishenzi
 
Watanzania hasa WanaCcm wana tabia ya Kutunga propaganda na kufanya jamii ione wapinzani ni watu wa hovyo sana. Huyu Britanica alishashiriki vitendo vya hujuma mbaya kwenye uchaguzi, sasa hivi amerudi na mkakati mpya wa propaganda tena ili kudidimiza upinzani. Lakini pia ukisoma alichokiandika ni hujuma hata kwa Raisi wa Nchi. Anaposema kesi ziko drafted anatoa picha gani? Nani alizidraft? Kwa faida ya nani? Anyway, tunapaswa Kuwa waangalifu sanaaaa.
 
Huyu poyoyo britanica unamuita mwanaccm ,uliwahi kuona kilaza CCM

USSR
 
Ndugu Tundu Lissu ni "bwakubwaku".....

"Too much know" asiye na ulimi wa nidhamu wala heshima.....

Si kila MTANZANIA anaihitaji katiba mpya.....
Lissuu ni kiongozi mzuri sana na mwanataaluma mzuri kabisa ila ndio hivyo Mungu akupi vyote, mwenzetu amepungukiwa na busara kwa kiasi fulani.
 
Sio mtu mzuri kabisa.

Amandla...
 
Hakika....

Anazidi kuwadidimiza.......
 
Usingesema chadema ilisarenda ningekuweka kuwa genious .
 
Mkuu JokaKuu , kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, ni Tume Huru, ila sio shirikishi.

P
 
Usingesema chadema ilisarenda ningekuweka kuwa genious .
Chadema walishaikimbia nchi tuwe wakweli Mbowe na Kina Lema wameanza mipango ya kurudi Tanzania baada ya dikteta kuondoka
 

Mkuu kwa hiyo kwa bandiko lako wa kulaumiwa ni Lissu?

Kwa hiyo kama jibu ni ndiyo na kama ndiyo Hangaya kachukua ushauri wa Sirro na Mchengerwa maana yake ni kuwa kasusa?

Kama jibu ni ndiyo huoni mkuu taasisi ya urais itakuwa petty mno labda kama watoto wadogo hivi?
 
Ndugu Tundu Lissu ni "bwakubwaku".....

"Too much know" asiye na ulimi wa nidhamu wala heshima.....

Si kila MTANZANIA anaihitaji katiba mpya.....

Mkuu uliyoandika ni mawazo yako na labda wengine kwa haki kama yako wakakuona worse!

Nadhani utakubaliana na ukweli kuwa si kila mtanzania haihitaji katiba mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…