"Tunajua wanapolala, wanachopanga" - IGP Sirro

"Tunajua wanapolala, wanachopanga" - IGP Sirro

Usiombeee waamua kufanya kweli tutaumia wote
Ukitaka kufanya Jambo la namna hiyo unapaswa uwe na support ya watu.

Uzuri ni kuwa hakuna anayesupport ujinga wao.

Yaani hata wale wapinzani die hards wanafahamu kuwa hawawezi kutoa Rais ,

Wanachopambania ni Ubunge tu.

So I am confident with my post kuwa hizi ni blah blah za mitandaoni tu.

In a real sense hakuna kitu chochote.
 
Amsterdam awatemesha ndoano mapema hawa washenzi wanaojiita wanalinda raia na mali zao kumbe wanakilinda chama cha kijani kiendelee kututia umasikini.
 
Kitendo cha polis kukamata wagombea upinzani Kule tunduma haikubaliki kamwe.Namhurumia sana siro jeshi lake linatumiwa na ccm.
 
Mkuu hii video ungeikata. Sijui ni watu wangapi wanaweza kumsikiliza huyu jamaa kwa dakika 40 lakini mimi binafsi siwezi.

Ndo maana nimetoa angalizo uangalie kuanzia dakika ya 33.

Listen to this top Policeman in the counrtyr, its important.
 
Back
Top Bottom