Tunakoelekea kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Yes, huu utaratibu wa jeshi la polisi kutofuata taratibu za ukamataji na kwamba wao wako juu ya katiba na sheria za nchi utaisha kwa mwisho mbaya sana.

Naona watu badala ya kuogopa na kuwa wapole kama zamani , wanazidi kuchangamka sana na kuwa na confidence dhidi ya uonevu , kimsingi wamevhmilia to critical or saturation point.

Hapa kuna battle itaibuka btn raia wa kawaida na polisi very soon. Na hapa kila mtu atachanyikiwa kwa wakati wake
 
Kama kibatala na Afande mahakamani,kesi ya bon yai!
 
Yes, huu utaratibu wa jeshi la polisi kutofuata taratibu za ukamataji na kwamba wao wako juu ya katiba na sheria za nchi utaisha kwa mwisho mbaya sana.

Naona watu badala ya kuogopa na kuwa wapole kama zamani , wanazidi kuchangamka sana na kuwa na confidence dhidi ya uonevu , kimsingi wamevhmilia to critical or saturation point.

Hapa kuna battle itaibuka btn raia wa kawaida na polisi very soon. Na hapa kila mtu atachanyikiwa kwa wakati wake
Muda ni mwalimu na asiyesikia la mkuu atavunjika guu. Mbuyu unaaza kama mchicha,chururu siii ndondondo,mgaagaa na upwa hali wali mkavu.
 
Back
Top Bottom