Tunakubaliana Profesa Kabudi aliua Diplomasia yetu, lakini hatukubali kwamba hafai kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Tunakubaliana Profesa Kabudi aliua Diplomasia yetu, lakini hatukubali kwamba hafai kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Kwa Hali ilivyo ni wazi CCM wameanza kukubaliana na watu wenye akili timamu kwamba tuliua Diplomasia ya Kimataifa. Ni Jambo la Wazi kwamba hata wale waliowakamata wapinzani waliokosoa sera ya mambo ya nje wanajiona wajinga kwamba wameshiriki kutufikisha hapa tulipo.

Watu wale wale walioelekeza wapinzani wakamatwe ndio hao hao Leo hii wanasimama kwenye vyombo vya umma kueleza jamiii kwamba awamu iliyopita iliharibu Nchi.

Sasa hivi Naomba kuuliza aliyeharibu mahusiano ya Kimataifa anafaa kuendelea kuwa Waziri wa Sheria ?

Msisubiri atumbuliwe ndipo mje kusema hakuwa na uwezo baada ya kuvuruga mfumo wa Sheria wa Nchi. Unafiki unalisambaratisha Taifa.
 
Tanzania huwa tunajua sana kujidanganya, ni Diplomasia gani hiyo tuliokuwa nayo ambayo iliuliwa ? Tanzania nje ya Watanzania hatujulikani popote pale acheni kujidanganya, umenikumbusha hadithi wakati tunakuwa tuliambiwa Tanzania ni ya 3 kwa upelelezi Duniani baada ya USA, Urusi ni sisi na tuliamini, …
 
Ujinga mtupu, tuliuwa diplomacy alafu marais kibao wakatembelea Tanzania.

Tukaingia mpaka uchumi wa kati
Wapinzani walishaonya hapo awali na sasa MaCCM menzako yameshakiri kuwa Marehemu Pombe na Palamagamba kabudi waliharibu mahusiano yetu ya kidiplomasia na mataifa mengi sana kwa kuendekeza misimamo ya Bushman.
 
Tanzania huwa tunajua sana kujidanganya, ni Diplomasia gani hiyo tuliokuwa nayo ambayo iliuliwa ? Tanzania nje ya Watanzania hatujulikani popote pale acheni kujidanganya, umenikumbusha hadithi wakati tunakuwa tuliambiwa Tanzania ni ya 3 kwa upelelezi Duniani baada ya USA, Urusi ni sisi na tuliamini, …
Aisee nenda maktaba ukafanye tafiti ndiyo urudi hapa.
 
Aisee nenda maktaba ukafanye tafiti ndiyo urudi hapa.

Kuna Diplomasia gani ? Kama ingekuwepo si tungekuwa tunaalikwa White House USA kuongea live mbele ya Dunia na Raisi wa USA? Raisi pekee wa Tanzania aliyefika Ikulu ya USA na kuongea na Raisi wa USA alikuwa Nyerere kipindi cha Jimmy Carter basi.

Maraisi wote wanaohitajika kidiplomasia Afrika utawaona White House au utasikia wamepigiwa simu na Raisi wa USA inaandikwa kwenye media, ni lini kwetu ilifanyika ?

Ni lini uliona Raisi wetu akialikwa na Raisi wa USA ukiondoa Nyerere na Jimmy Carter ?
 
Kuna Diplomasia gani? Kama ingekuwepo si tungekuwa tunaalikwa White House USA kuongea live mbele ya Dunia na Raisi wa USA? Raisi pekee wa Tanzania aliyefika Ikulu ya USA na kuongea na Raisi wa USA alikuwa Nyerere kipindi cha Jimmy Carter basi.

Maraisi wote wanaohitajika kidiplomasia Afrika utawaona White House au utasikia wamepigiwa simu na Raisi wa USA inaandikwa kwenye media, ni lini kwetu ilifanyika?

Ni lini uliona Raisi wetu akialikwa na Raisi wa USA ukiondoa Nyerere na Jimmy Carter?

Either hujui ama unafanya kusudi.

Rais wa Kwanza kutoka Africa kualikwa ikulu ya White House baada ya Rais Obama kuingia ikulu May 21, 2009 alikuwa Rais Dr. Jakaya Mrisho Halfan Kikwete wa Mizega.

Sio Nyerere peke yake kutoka Tanzania kama ulivyosema.
 
Prof. Kabudi ndiye ofisa wa kwanza kabisa wa serikali mara baada ya kifo cha JPM kutangaza kwamba urais wa Samia bado ni Awamu ya 5 kabla Samia mwenyewe kutoa ufafanuzi tofauti! Siku hizi ame-mute kuhusu hilo sijui ameutambua ukweli au kaamua tu kunyamaza. Ila mjanja; anajua nguvu na mamlaka ya Rais wa JMT hataki ugomvi; wajingawajinga akina viroboto ndio bado wanashupaza shingo!

Katiba ya JMT, Ibara ya 40(4);

"Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu".
 
Acha kupotosha mdau hapo juu Kijakazi
Jakaya alikuwa alikwa white house na akawa rais wa kwanza kutoka Africa kualikwa na Rais Obama punde tu aliposhika hatamu 2009.
IMG_20211212_193711.jpeg
IMG_20211212_193649.jpeg
IMG_20211212_193635.jpeg


Kijakazi
 
Mkuu upo dunia ya ngapi?? Jakaya alienda white house kipindi cha George Bush Jr na bado akaenda baada ya Obama kutinga white house!

Clinton aliwahi kuja Tanzania enzi za Mzee Ben,Bush na Obama waliwahi kuja enzi za Jakaya
Achana na sukuma gangster huyo
 
Either hujui ama unafanya kusudi.

Rais wa Kwanza kutoka Africa kualikwa ikulu ya White House baada ya Rais Obama kuingia ikulu May 22, 2009 alikuwa Rais Dr. Jakaya Mrisho Halfan Kikwete wa Mizega.

Sio Nyerere peke yake kutoka Tanzania kama ulivyosema.

Sijasema kuingia Ikulu tu, kuingia siajabu wameshaingia karibia wote, naongelea kukutana na Raisi wa USA mbele ya media Oval Office na kurushwa Dunia nzima siyo tu nyuma ya pazia, hivyo wote wamefanya.
 
Mkuu upo dunia ya ngapi?? Jakaya alienda white house kipindi cha George Bush Jr na bado akaenda baada ya Obama kutinga white house!

Clinton aliwahi kuja Tanzania enzi za Mzee Ben,Bush na Obama waliwahi kuja enzi za Jakaya
Dikteta aliharibu taswila ya Nchi yetu kimataifa

Samia ameturejeshea hadhi yetu Kama Nchi kimataifa
 
Mkuu upo dunia ya ngapi?? Jakaya alienda white house kipindi cha George Bush Jr na bado akaenda baada ya Obama kutinga white house!

Clinton aliwahi kuja Tanzania enzi za Mzee Ben,Bush na Obama waliwahi kuja enzi za Jakaya

Nionyeshe picha ya Kikwete akiwa Oval Office USA na Raisi wa Amerika

1639328964775.jpeg
 
Kuna Diplomasia gani ? Kama ingekuwepo si tungekuwa tunaalikwa White House USA kuongea live mbele ya Dunia na Raisi wa USA? Raisi pekee wa Tanzania aliyefika Ikulu ya USA na kuongea na Raisi wa USA alikuwa Nyerere kipindi cha Jimmy Carter basi.

Maraisi wote wanaohitajika kidiplomasia Afrika utawaona White House au utasikia wamepigiwa simu na Raisi wa USA inaandikwa kwenye media, ni lini kwetu ilifanyika ?

Ni lini uliona Raisi wetu akialikwa na Raisi wa USA ukiondoa Nyerere na Jimmy Carter ?

Ngoja tuombe msaada wa google ili tupate kufahamu hii diplomasia ya Julius Nyerere ilivyokuwa na ushawishi kimataifa tujifunze :

The American Presidency Project


Documents​

Jimmy Carter photo

JIMMY CARTER

39th President of the United States: 1977 ‐ 1981

Visit of President Julius K. Nyerere of Tanzania Remarks of the President and President Nyerere at the Welcoming Ceremony.​

August 04, 1977
PRESIDENT CARTER. Fourteen years ago, a young leader of our own Nation, John Kennedy, welcomed a young leader of a new nation, Julius Nyerere from Tanzania, to our country.

There was a sharing of ideals and hopes and a mutual declaration of frustration about the hatred and racial discrimination and deprivation of the poor prevalent throughout the world. It was an honor for our country to have this new leader come to see us when his own country was only 2 years old.

He's a man who has come from a small village, with a father who shaped his concepts about caring for those who need help and public service, a mother who kept the family close together in times of trial and tribulation when it was dangerous to express one's views about political change; a man who has deep religious convictions and who's been successful in his own country in translating those convictions into demonstrable concern about freedom, justice, equality, the alleviation of hunger, poverty, and disease.

Now, this same man, President Nyerere from Tanzania, comes back to our Nation still a strong leader who in his own country is known as "Teacher." He epitomizes what his country is, what it stands for. But now he's much more than a national leader; he's a wise man, experienced, a superb politician who recognizes that the structure of government can be used for beneficial purposes. He is admired in every council of world leaders throughout this globe--a senior statesman whose integrity is unquestioned and which never has been questioned; a man who has forgone material wealth and ease in a sacrificial way for his own people.

In the troubled continent of Africa, he's recognized as preeminent in his commitment to the hopes and purposes of free people. He's a well-educated man, a scholar, a philosopher, a great writer, one who probes for new ideas and who expresses them succinctly and clearly to shape the minds of other people in a beneficent and constructive way.

Our own Nation is deeply concerned about and with Africa. As a new President myself, I need his advice and his counsel and his friendship and his guidance as we try to act in a responsible and constructive fashion to bring about peace with justice in the 30 or more nations in Africa in the years ahead.

He can help me and others take the right stand as we bring about proper change toward majority rule in Rhodesia or Zimbabwe, in Namibia, and in the alleviation of racial discrimination throughout the continent of Africa and the rest of the world. I value his friendship and look forward today and tomorrow in having a chance to learn from him.

It is with a great sense of appreciation of what he is and a clear recognition of the honor bestowed upon our country by the visit of President Nyerere, I would like to say, on behalf of the American people, Mr. President, welcome, or in your language, Karibu.

Thank you very much.




PRESIDENT NYERERE. Mr. President, you have been very kind and very generous in your remarks about myself. If I had not jotted down my remarks, I would have found it extremely difficult to say a few words, but I do thank you with great sincerity for the warmth of your welcome to me and to my colleagues. I can assure you that I have very great pleasure in coming to your country at your invitation.

We in Tanzania, Mr. President, and in Africa generally, follow American politics with close attention. There is the intrinsic interest of the affairs of the most powerful nation the world has ever known. But more to the point, your politics do affect us.

Indeed, we in Tanzania sometimes think that the world should somehow join in the process of electing the American President--[laughter]--for though we realize that the American people do not elect an absolute monarch, the world power structure is such that other peoples in other nations have a vital interest in the person whom the American people choose as their executive head of state.

We appreciate your own recognition, Mr. President, of this fact in the message to audiences abroad which you issued on your inauguration.

Let me, therefore, once again offer you, Mr. President, our congratulations on the honor and the heavy responsibility which the American people have given you.
I'm very happy to be in the White House today as your guest, just as I was the guest of your distinguished predecessor and my friend, the late President Kennedy, in 1963.

Mr. President, I am glad of this opportunity to discuss with you the matters of common interest between our two countries, but in particular, the problems of southern Africa, for we in Tanzania have greatly welcomed your administration's new approach to matters related to the liberation of my continent from colonialism and racialism. I am, therefore, looking forward to my discussions with you and your colleagues and with Members of Congress.

I'm also very happy to have been invited to spend a few extra days in this country and to have been given the opportunity to visit different parts of the country. I do not expect to become an expert on America from my brief visits to the different States of your great country, but I'm sure that I shall learn a great deal of interest to me and to my countrymen.

Once again, Mr. President, I thank you very much.
Note: The President spoke at 10:37 a.m. on the South Lawn of the White House.
Jimmy Carter, Visit of President Julius K. Nyerere of Tanzania Remarks of the President and President Nyerere at the Welcoming Ceremony. Online by Gerhard Peters and John T. Woolley, The American Presidency Project Visit of President Julius K. Nyerere of Tanzania Remarks of the President and President Nyerere at the Welcoming Ceremony. | The American Presidency Project

LOCATION
Washington, DC
DC.jpg



 
Back
Top Bottom