Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
umehamisha goliSijasema kuingia Ikulu tu, kuingia siajabu wameshaingia karibia wote, naongelea kukutana na Raisi wa USA mbele ya media Oval Office na kurushwa Dunia nzima siyo tu nyuma ya pazia, hivyo wote wamefanya.