Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichaa yuleYaani acha tu! Magu alidhani kila kitu unakipata bila ya msaada kutoka kwa jirani
Alileta nini huyo mjinga! Yaani mtu mzururaji unasema alienda Whitehouse halafu akatela nini?Mkuu upo dunia ya ngapi?? Jakaya alienda white house kipindi cha George Bush Jr na bado akaenda baada ya Obama kutinga white house!
Clinton aliwahi kuja Tanzania enzi za Mzee Ben,Bush na Obama waliwahi kuja enzi za Jakaya
Mwenyewe aliwahi kusema ameokotwa jalalaniAkina kabudi sijui waliwatoa wap
Watanzania tunakuwa kama wajinga....hapa tatizo ,ni UNAFIKI!Wapinzani walishaonya hapo awali na sasa MaCCM menzako yameshakiri kuwa Marehemu Pombe na Palamagamba kabudi waliharibu mahusiano yetu ya kidiplomasia na mataifa mengi sana kwa kuendekeza misimamo ya Bushman.
Wewe kweli ni mjinga! Kikwete alikuwa Rais wa Kwanza Afrika kuongea na Barack Obama white house Mara tu baada ya kuwa Rais wa Marekani !Kuna Diplomasia gani ? Kama ingekuwepo si tungekuwa tunaalikwa White House USA kuongea live mbele ya Dunia na Raisi wa USA? Raisi pekee wa Tanzania aliyefika Ikulu ya USA na kuongea na Raisi wa USA alikuwa Nyerere kipindi cha Jimmy Carter basi.
Maraisi wote wanaohitajika kidiplomasia Afrika utawaona White House au utasikia wamepigiwa simu na Raisi wa USA inaandikwa kwenye media, ni lini kwetu ilifanyika ?
Ni lini uliona Raisi wetu akialikwa na Raisi wa USA ukiondoa Nyerere na Jimmy Carter ?
wahaya sio wajinga hivi!!!!Kwa Hali ilivyo ni Wazi CCM wameanza kukubaliana na watu wenye akili timamu kwamba tuliua Diplomasia ya Kimataifa. Ni Jambo la Wazi kwamba hata wale waliowakamata wapinzani waliokosoa sera ya mambo ya nje wanajiona wajinga kwamba wameshiriki kutufikisha hapa tulipo. Watu wale wale walioelekeza wapinzani wakamatwe ndio hao hao Leo hii wanasimama kwenye vyombo vya umma kueleza jamiii kwamba awamu iliyopita iliharibu Nchi.
Sasa hivi Naomba kuuliza aliyeharibu mahusiano ya Kimataifa anafaa kuendelea kuwa Waziri wa Sheria ? Msisubiri atumbuliwe ndipo mje kusema hakuwa na uwezo baada ya kuvuruga mfumo wa Sheria wa Nchi. Unafiki unalisambaratisha Taifa.
Aliokotwa usishangae kaka.. wendawazimu wamewatia watu ufukara kishenzi kwa elimu zao za darasani...maninaaaaAkina kabudi sijui waliwatoa wap
Huyu unato hafai kujilinganisha na kabudi.siyo hadhi yake.Kwa Hali ilivyo ni Wazi CCM wameanza kukubaliana na watu wenye akili timamu kwamba tuliua Diplomasia ya Kimataifa. Ni Jambo la Wazi kwamba hata wale waliowakamata wapinzani waliokosoa sera ya mambo ya nje wanajiona wajinga kwamba wameshiriki kutufikisha hapa tulipo. Watu wale wale walioelekeza wapinzani wakamatwe ndio hao hao Leo hii wanasimama kwenye vyombo vya umma kueleza jamiii kwamba awamu iliyopita iliharibu Nchi.
Sasa hivi Naomba kuuliza aliyeharibu mahusiano ya Kimataifa anafaa kuendelea kuwa Waziri wa Sheria ? Msisubiri atumbuliwe ndipo mje kusema hakuwa na uwezo baada ya kuvuruga mfumo wa Sheria wa Nchi. Unafiki unalisambaratisha Taifa.
Kimsingi utawala ulipita ulikuwa wa kishetani kabisa ulikuwa umejaa watu wa hovyo sn na siyo Kabudi pekeeKwa Hali ilivyo ni wazi CCM wameanza kukubaliana na watu wenye akili timamu kwamba tuliua Diplomasia ya Kimataifa. Ni Jambo la Wazi kwamba hata wale waliowakamata wapinzani waliokosoa sera ya mambo ya nje wanajiona wajinga kwamba wameshiriki kutufikisha hapa tulipo.
Watu wale wale walioelekeza wapinzani wakamatwe ndio hao hao Leo hii wanasimama kwenye vyombo vya umma kueleza jamiii kwamba awamu iliyopita iliharibu Nchi.
Sasa hivi Naomba kuuliza aliyeharibu mahusiano ya Kimataifa anafaa kuendelea kuwa Waziri wa Sheria ?
Msisubiri atumbuliwe ndipo mje kusema hakuwa na uwezo baada ya kuvuruga mfumo wa Sheria wa Nchi. Unafiki unalisambaratisha Taifa.
Kweli tupuAliokotwa usishangae kaka.. wendawazimu wamewatia watu ufukara kishenzi kwa elimu zao za darasani...maninaaaa
CCM kumejaa takataka kabisaProf. Kabudi ndiye ofisa wa kwanza kabisa wa serikali mara baada ya kifo cha JPM kutangaza kwamba urais wa Samia bado ni Awamu ya 5 kabla Samia mwenyewe kutoa ufafanuzi tofauti! Siku hizi ame-mute kuhusu hilo sijui ameutambua ukweli au kaamua tu kunyamaza. Ila mjanja; anajua nguvu na mamlaka ya Rais wa JMT hataki ugomvi; wajingawajinga akina viroboto ndio bado wanashupaza shingo!
Katiba ya JMT, Ibara ya 40(4);
"Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu".
Kama hujui faida ya diplomasia bora kukaa kimyawahaya sio wajinga hivi!!!!
achana na maneno ya mtaani weka fact hapa na sababu
au kupigania madini, ikiwemo tanzanite n.k ndio kuharibu diplomasia?
kabla ya hapo uliwahi kufaidi nini na diplomasia?
ile wao kuja hapa vipi sio sawa na sisi kwenda kule?Kuna Diplomasia gani ? Kama ingekuwepo si tungekuwa tunaalikwa White House USA kuongea live mbele ya Dunia na Raisi wa USA? Raisi pekee wa Tanzania aliyefika Ikulu ya USA na kuongea na Raisi wa USA alikuwa Nyerere kipindi cha Jimmy Carter basi.
Maraisi wote wanaohitajika kidiplomasia Afrika utawaona White House au utasikia wamepigiwa simu na Raisi wa USA inaandikwa kwenye media, ni lini kwetu ilifanyika ?
Ni lini uliona Raisi wetu akialikwa na Raisi wa USA ukiondoa Nyerere na Jimmy Carter ?
Hii hoja yako ni hoja ya mjinga hasa.Ujinga mtupu, tuliuwa diplomacy alafu marais kibao wakatembelea Tanzania.
Tukaingia mpaka uchumi wa kati