Tunakubaliana Profesa Kabudi aliua Diplomasia yetu, lakini hatukubali kwamba hafai kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Diplomasia ipi mnaongelea ? Hii ya kutembeza bakuli kwa mnaowaita wadau wa maendeleo au?
Mhudumu niletee BIA tafadhari ... Jamani hebu niacheni
 
Mkuu upo dunia ya ngapi?? Jakaya alienda white house kipindi cha George Bush Jr na bado akaenda baada ya Obama kutinga white house!

Clinton aliwahi kuja Tanzania enzi za Mzee Ben,Bush na Obama waliwahi kuja enzi za Jakaya
Alileta nini huyo mjinga! Yaani mtu mzururaji unasema alienda Whitehouse halafu akatela nini?
 
Wapinzani walishaonya hapo awali na sasa MaCCM menzako yameshakiri kuwa Marehemu Pombe na Palamagamba kabudi waliharibu mahusiano yetu ya kidiplomasia na mataifa mengi sana kwa kuendekeza misimamo ya Bushman.
Watanzania tunakuwa kama wajinga....hapa tatizo ,ni UNAFIKI!
Kwani ni Kabudi yupo peke yake?,Viongozi wote waliufyata kwa Matendo na Sera za Magufuli!
Leo watatuambia Nini! Watajitengaje na Mabaya ya JPM,Wakajinasibisha na mazuri!!??)
Tatizo la Nchi hii ni Katiba mbovu ,inayompa Mamlaka ya Kimungu Rais,wakati huohuo Nchi imejaa wachumia Tumbo!
 
W
Wewe kweli ni mjinga! Kikwete alikuwa Rais wa Kwanza Afrika kuongea na Barack Obama white house Mara tu baada ya kuwa Rais wa Marekani !
Kama una short memory acha kukimbilia vitu usivyovijua!
 
Mnarumbana bure, kuchomaje vifaranga, matokeo bidhaa zetu kuzuiwa mpakani, ukiwa Rais si vizuri kuendekeza kiburi, kwasababu watu wako ndio wanaumia, Magu hakustahili kuwa Rais!
 
wahaya sio wajinga hivi!!!!
achana na maneno ya mtaani weka fact hapa na sababu

au kupigania madini, ikiwemo tanzanite n.k ndio kuharibu diplomasia?

kabla ya hapo uliwahi kufaidi nini na diplomasia?
 
Huyu unato hafai kujilinganisha na kabudi.siyo hadhi yake.
 
Kimsingi utawala ulipita ulikuwa wa kishetani kabisa ulikuwa umejaa watu wa hovyo sn na siyo Kabudi pekee
 
CCM kumejaa takataka kabisa
 
wahaya sio wajinga hivi!!!!
achana na maneno ya mtaani weka fact hapa na sababu

au kupigania madini, ikiwemo tanzanite n.k ndio kuharibu diplomasia?

kabla ya hapo uliwahi kufaidi nini na diplomasia?
Kama hujui faida ya diplomasia bora kukaa kimya
 
ile wao kuja hapa vipi sio sawa na sisi kwenda kule?
 
Ujinga mtupu, tuliuwa diplomacy alafu marais kibao wakatembelea Tanzania.

Tukaingia mpaka uchumi wa kati
Hii hoja yako ni hoja ya mjinga hasa.

Eti uchumi wa kati.

Hivi unafahamu kuwa wakati wa Mkapa, per capita income ya mtanzania iliongezeka kwa $400, wakati wa Kikwete $380, lakini wakati wa utawala dhalimu wa awamu ya 5, iliongezeka kwa $80 tu?

Mlilishwa ujinga, nanyi mkaamini. Mtu alikuwa anaua uchumi, mnadanganywa kuwa tupo vizuri, mnaamini.

Pia ujue kutembelewa pekee na viongozi wa mataifa mengibe siyo uthibitisho pekee kuwa una uhusiano mzuri. Wengine wanakuja kwa nia ya kukushauri kwa sababu umepotoka. Ukiwagomea, hutawaona tena!

Hivi tangu uhuru, kuna Serikali iliyowahi kupewa maonyo mbalimbali ya taasisi za kimataifa, ambazo sisi ni wanachama wake, kama Serikali ya awamu ya 5?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…