Tunakubaliana Profesa Kabudi aliua Diplomasia yetu, lakini hatukubali kwamba hafai kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Sijasema kuingia Ikulu tu, kuingia siajabu wameshaingia karibia wote, naongelea kukutana na Raisi wa USA mbele ya media Oval Office na kurushwa Dunia nzima siyo tu nyuma ya pazia, hivyo wote wamefanya.
umehamisha goli
 
Sasa weu ajivunia kwamba tusiwe na diplomasia kabisa milele au! Mbona point yako hata haieleweki
 
Ahahahahha braza umenikumbusha mbali huu ujinga tuliokuwa tunalishwa na wapuuzi..

Yaani hata tano bora Afrika hatumo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…