ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Tukisema kwamba watu sasa hv watu wanakufa Sana wanakuja ma Great thinkers wanasema hapana misiba iko Tu daily.Ni kweli vifo viko kila siku kila saa ila kwanini kuna pindi habari zake zina trend kuliko kawaida kwa mfano sasa hv tuseme kuanzia mwezi wa sita kwa mimi BINAFSI mitaani na Katika mitandao ya kijamii NI stori Tu za RIP tena vijana wadogo wadogo kabisa wanakwenda alooo mambo NI MENGI mda mchache.