ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Duh😂R.I.P ndege JOHN
Vifo vingi Vya mtaani vinasababishwa na ukosefu wa Matibabu mazuri including poor lifestyle.Tukisema kwamba watu sasa hv watu wanakufa Sana wanakuja ma Great thinkers wanasema hapana misiba iko Tu daily.Ni kweli vifo viko kila siku kila saa ila kwanini kuna pindi habari zake zina trend kuliko kawaida kwa mfano sasa hv tuseme kuanzia mwezi wa sita kwa mimi BINAFSI mitaani na Katika mitandao ya kijamii NI stori Tu za RIP tena vijana wadogo wadogo kabisa wanakwenda alooo mambo NI MENGI mda mchache.
Ushindwe kwa Jina la yesu me bado bado labda kuanzia 2050 hukoR.I.P ndege JOHN
Hata useme kwa jina la mungu utakufa tu!.Ushindwe kwa Jina la yesu me bado bado labda kuanzia 2050 huko