Sure. Hao Malawian Airlines Wana B737 LLW-BLZ-JNB linajaa. Nyie mnakimbizana DAR-MWZ.Nimeshindwa kumjibu maana amesema wapumbavu tupo wengi!!
Ila nikunong'oneze tu, ukishakuwa na fleets za dreamliner 787 the only way to make profit is to go international. Wataalam wanasema angalau uruke masaa 13 kwa siku ,mfano Quantas dreamliber 787 ina route ya masaa 19 angani non stop.
Kama ni kweli tumenunua dreamliner kwa sababu ya local routes, ni sawa kabisa ma mtu anunue basi la yutong kwa safari za ubungo posta.
NimekusomaMkuu destinations zingine tunadaiwa, twiga hawezi tua Jo'berg bondeni kwani kuna mzungu wa mashamba kule
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kiingereza kinawanyanyua sana hawa jamaa. Uswahili unatu-let down sana.Wa-Malawi wanajielewa kitambo
Taratibu ambazo tumeshindwa kuzifuata? Tuache viaingiziohizo international flight hatuendi tu huwa kuna taratibu zake.....
Hili dude linarushwa na Captain Mansi.Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)
View attachment 2019984
Beberu (Mzungu) 2h15m analishusha OR Tambo. Unaingia Mjini mchana peupe. Sisi tunakimbizana Dar-Mpanda-Tabora-DarHili dude linarushwa na Captain Mansi.
Duuh hii noma
CAG abajua anachofanya? Mbona ndege zinaendelea kununuliwa? Au yeye amesoma makala ya mwaka 80 wakati leo ni 2021CAG alisema ndege hizo zilinunuliwa bila hata kua na Business plan.
Nadhani kulikua na mgao wao kwny ununuzi wa hizo ndege,na lengo halikua kufanya biashara.
Sorry bro naomba nikuulize ... Qantas wanaruka destination zipi ambazo ni 19hours nonstop ? Maana nilisoma kwenye mtandao wa simpleflying.com na samchui.com kwamba walikuwa wanafanyia jaribio project yao moja inaitwa project sunrise ambapo walirusha ndege aina ya dremliner787 kutoka newyork hadi Australia kupitia London ambapo unashuhudia jua linachomoza mara 2 ukiwa angani.sasa sijajua kama ndio hiyo au ni ipi mdau nijuzeNimeshindwa kumjibu maana amesema wapumbavu tupo wengi!!
Ila nikunong'oneze tu, ukishakuwa na fleets za dreamliner 787 the only way to make profit is to go international. Wataalam wanasema angalau uruke masaa 13 kwa siku ,mfano Quantas dreamliber 787 ina route ya masaa 19 angani non stop.
Kama ni kweli tumenunua dreamliner kwa sababu ya local routes, ni sawa kabisa ma mtu anunue basi la yutong kwa safari za ubungo posta.
πππ hapana CAG hajui,Ila wewe ndio unajua unachokifanya.CAG abajua anachofanya? Mbona ndege zinaendelea kununuliwa? Au yeye amesoma makala ya mwaka 80 wakati leo ni 2021
NEW YORK - SYDNEYSorry bro naomba nikuulize ... Qantas wanaruka destination zipi ambazo ni 19hours nonstop ? Maana nilisoma kwenye mtandao wa simpleflying.com na samchui.com kwamba walikuwa wanafanyia jaribio project yao moja inaitwa project sunrise ambapo walirusha ndege aina ya dremliner787 kutoka newyork hadi Australia kupitia London ambapo unashuhudia jua linachomoza mara 2 ukiwa angani.sasa sijajua kama ndio hiyo au ni ipi mdau nijuze
Yaa si ndio Australia Sydney au vipi mimekoseaNEW YORK - SYDNEY
Yes. Sydney, Australia.Yaa si ndio Australia Sydney au vipi mimekosea
Pamoja sana mkuuYes. Sydney, Australia.
Kusafir raha Sana. Tatizo letu tumejifungia na Siasa za ilani. Na wakati mwingine tunadanganywa na jamaa zetu majukwaani kuwa nchi hii tuna kila kituPamoja sana mkuu
Hujawahi kusikia nasema popote huu mradi haufaui. Yeye anasema halafu ndio fleet inazidi kuneneopeshwa. Lazima ajiulize anakosea wapi π π π π π π π ππππ hapana CAG hajui,Ila wewe ndio unajua unachokifanya.
Hapo sasa wanapata faida mara mbili! Boeing 737 ni ndege iliyoukuwa desined ikiwa na landing cylces nyingi za kutosha, wenzetu wanapoitumia ndege ya aina hii kwa safari ndefu maana yake ni kuwa wanaipa pia maisha marefu ya airworthiness , sisi ni kinyume chake sasa Boeing 787 ni heavy plane( wide body) , ndege hizi huwa kwa kawaida hazina landing cyles nyingi kutokana na uzito wake , ili upate faida kwa dream liner inatakiwa mizunguko ya kutua na kupaa iwe michache ili uweze kutumia mdege hii kwa muda mrefu na kupata faida.Sure. Hao Malawian Airlines Wana B737 LLW-BLZ-JNB linajaa. Nyie mnakimbizana DAR-MWZ.
Surely kusafiri ni hobby yangu sema tu uchumi hauruhusu ila kusafiri kuna kujifunza mengi katika hii dunia, mfano unakutana na watu wapya, tamaduni, mpya ,vyakula vya kigeni n.k.Kusafir raha Sana. Tatizo letu tumejifungia na Siasa za ilani