Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

Zanzibar tupewe mgao wetu kwenye hizo ndege. Kila mtu akapambane kivyake. Mambo ya kuja kulaumiana baadae hatutaki kwenye hizo ndege 11 sisi tupeni zetu 5 tutapambania Watalii waje Unguja
Inatakiwa muungano uvunjwe ili mpakatwe . Kazi wafanye bara,,ndege mpewe unguja!
 
Back
Top Bottom