Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)

View attachment 2019984

Zamani hoteli za Dar wapishi na wahudumu walitawala wanyasa, hospitali maarufu na madakitari wazuri miaka ya sitini walikuwa wanyasa usisahau mahausigeli na mashambaboi wa wazungu wanyasa, hawaibi nyama ya mbwa mzungu akisafiri.
 
Zanzibar tupewe mgao wetu kwenye hizo ndege. Kila mtu akapambane kivyake. Mambo ya kuja kulaumiana baadae hatutaki kwenye hizo ndege 11 sisi tupeni zetu 5 tutapambania Watalii waje Unguja
yaani kwenye uchumi wa Tz kimapato zanzibar hamchangii hata 1%
 
Mambo mazuri hayataki haraka,kwanza mtiririko wa abiria duniani ni wa vikwazo vywa lokidawn,wacha ndege zetu ziwepo airport tutashiriki kuzivuta mavumbi na kuzifanyia service hata kuzipasha moto ,ziruke hadi pemba na kurudi huku zikiangalia ukanda wa bahari hakuna wanaomwaga oili chafu,
 
Kiwango chetu cha upumbavu kimeenda juu ghafla, watu wanakuja na hoja za kitoto. Unafikiri kwenda International ndio kutengeneza profit? See how big is our country, compare it with Malawi halafu tafakari upumbavu wako.
Jinga kabisa mbwiga wewe. Sasa Kama domestic unalipa mbona uwanja wa Chato umetelekezwa na Sasa unaanikiwa nafaka?

Nchi kubwa jinga hili wananchi wake hawana vipato. Mbwegese wewe.
 
Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)

View attachment 2019984

Angalia registration ya hizo ndege za Malawi kabla hijawasifia
 
Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)

View attachment 2019984

Bro kwanza tuliza kichwa kabla ya kulaumu,angalia local destinations za arcl,zihesabu ni ngapi,hesabu international destinations za atcl ni ngapi,pia angalia routes ambazo tayari wameishapewa ila wanasubiri kuidhinishwa,usidhani kuwa ni kununua tu ndege na kuruka unapopataka kuna masharti,but air malawi haiwezi kuifikia atcl hata punje

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nchi kubwa hii,
Ndege zinatembea vzr Tu hapa ndani na kuleta hela za kutosha, kwa nje wateja wachache labda mpaka tuanzishe safari za UK, China, na Marekani ndo kutakuwa na faida kutanuka ndani ya Africa
 
Zanzibar tupewe mgao wetu kwenye hizo ndege. Kila mtu akapambane kivyake. Mambo ya kuja kulaumiana baadae hatutaki kwenye hizo ndege 11 sisi tupeni zetu 5 tutapambania Watalii waje Unguja
Masuala ya uchukuzi hayapo kwenye Muungano mkuu!!
 
Wanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)

View attachment 2019984

Ulisoma taarifa ya CAG kuhusu risk waliyonayo AR
Zanzibar tupewe mgao wetu kwenye hizo ndege. Kila mtu akapambane kivyake. Mambo ya kuja kulaumiana baadae hatutaki kwenye hizo ndege 11 sisi tupeni zetu 5 tutapambania Watalii waje Unguja
Hivi zile meli mlizonunuz nasi tuna mgao huko?
 
Nchi kubwa hii,
Ndege zinatembea vzr Tu hapa ndani na kuleta hela za kutosha, kwa nje wateja wachache labda mpaka tuanzishe safari za UK, China, na Marekani ndo kutakuwa na faida kutanuka ndani ya Africa
Mchakato wa kupeleka ndege marekani si mchezo. Kama China imesumbua mpaka hamjui cha kufanya unafikiri USA mtafanikiwa soon
 
Mbona China wanaenda, Ila
mostly mizigo abiria baadae

Brussels na London pia wako tayar wanasubiria ndege Tu na maybe Corona iishe kimtindo
 
Back
Top Bottom