Nategemea kuna mtu kama yuko serious wa serikali au shirika la ndege Tanzania akapita hapa kama ataona wazo linamfaa itakuwa vizuri. Tanzania ndege zetu ni wazi ngumu kushindana na mashirika makubwa kama EK,Qatar au hata Ethiopia sababu network yao ni kubwa sana lakini tunaweza kuwatumia hawa tukawa kama feeder. Ni vizuri tukaingia sharecode mfano na EK ambao network yao dunia nzima wanafika halafu sisi tukaenda nchi ambazo EK hawafiki ha Africa au wakatupa route ili mfano akikata mtu ticket mfano toka Comoro anaenda France basi anakata ticket moja tu to Comoro to France air Tanzania anapanda anafika Dar switch to EK ticket moja na nchi nyingine kama Malawi hata Burundi hapo mpaka Congo ndege zetu zitakuwa main feeder wa EK zitafanya route nyingi daily. Sababu kushindina na hawa itakuwa ngumu sababu hata Dubai watu wanaitumia kama transit wengi tu na wako watashuka Dubai ni lazima tuwe na business plan tukubali uhalisia hatuna uwezo wa kufika sehemu nyingi. Kupata mteja toka Congo kuja Dar wako lakini limited ila wa Congo kuwapata kwenda hata ulaya wengi ukishare code na hawa ma giant ina add kwenye network yako. hili ni wazo tuWanyasa kwa ufadhili wa Ethiopian airlines Wana ndege 2 wanafanya maajabu international destinations (DAR, NBO, LSK, JNB & HRE) . Sisi ndege 11 international destinations za kuhesabu kwann bado hatukamati destinations za maana? Tumirogwa?
Hii COVID ilipaswa kukamata alipofeli South Africa Airways ( DAR-JNB-CPT-DUR)
View attachment 2019984
Welcome to Malawi Airlines Official Website
www.malawian-airlines.com