Tunakwenda wapi? Gachuma awamu ya tano Mwalifu, awamu ya sita mjumbe bodi ya TANESCO

Na Mungu huyo huyo ndiye aliyemnusuru TL kuchomoka kwenye tundu la umauti, isitoshe Mungu huyo huyo ndiye aliyemchukua Dikteta na watanzania kufarijika kwa kuondokewa na shujaa.
 
Na Mungu huyo huyo ndiye aliyemnusuru TL kuchomoka kwenye tundu la umauti, isitoshe Mungu huyo huyo ndiye aliyemchukua Dikteta na watanzania kufarijika kwa kuondokewa na shujaa.
Kama wanavyofarijika sasa baada ya gaidi kukamatwa
 
Upo sahihi, Bad things ni kuwa Kingai , Mahita Jr na wanaoshuhudia uongo wapo katika dimbwi la sonona kuu.
Bad things ni kwamba wale walioshangilia kifo cha shujaa ndio hao wako rumande huku wafuasi wao wakilia lia hovyo tu
 
Sad truth...Wa maombi tutaonekana kama hamnazo but njia ya mwovu imejaa kizaa na utelezi just give it time....God never lies...
Be warned!
 
Wengi huwa mnakaza sana fuvu mkiambiwa mdai katiba mpya bora itakayopunguza mamlaka ya wanasiasa sasa leo mnalia badala ya kutafuta uvumbuzi wa kudumu.

Hizi nafasi zitakua za weledi endapo tu mamlaka ya uteuzi yataondolewe kwa waziri/rais na yawe chini ya committe maalum ya wataalam wa jambo husika.
 
Samahani mkuu, nadhani umesahau kidogo, lakini kwa kukukumbusha Gachuma hakuwahi kushtakiwa popote enzi za awamu ya tano, na kwa kukusaidia ndiye mtu aliekua akimpokea mkuu mara zote akiwa na ziara jijini Mwanza, ni vile mafaili yako umeyaweka mbali kidogo, mtu aliyepata maswaibu hapa ni rafiki yake Gachuma aitwae Peter Zakaria kuhusu suala la Nyanza corporation na si Gachuma kama unavyotaka kuaminisha umma hapa,

wakati mwingine fanya kautafit kidogo kabla ya kuleta habari inayoweza kuzua taharuki zisizo za lazima

nawasilisha,
 
Hivi kuna watu walitegemea Janwari kujinyea atafanya jambo lolote la maana hapo wizara ya madini?
 
Yani hamna kitu kinauzi Kama Kila siku serekalini ajira zikijaa watu Ni wale waleee....waliowai kupitaa kwani hakuna wengineee
Wana 'Connection' ndio maana wanapata wale wale kila siku.
Kama alikuwa mualifu na kushtakiwa mahakamani kesi yake iliishaje??

Yule jamaa alikuwa na chuki sana na matajiri, aliifilisi nchi akawa anakamata matajiri na kuwalazimisha wampe pesa. Ukimkatalia ndio unaishia kukutwa na hayo mambo.
Dah!...let the man rest.
 
😍
 
Samia aje atujibu, naache kutumia kodi zetu vibaya!
 
Yani hamna kitu kinauzi Kama Kila siku serekalini ajira zikijaa watu Ni wale waleee....waliowai kupitaa kwani hakuna wengineee
Ifike muda tuingie mtaani!! maana kodi zetu zinatumika vibaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…