Hakuna zawadi kubwa mtu aliyopewa na Mungu kama akili, hekima ni kitu bora sana! Wachaga walijitambua mapema sana. Haikuwa shida kwa wakoloni kuwabeba sababu walibebeka. Ona kama mjomba wetu alivyo jaa majigambo na ujuaji hivi ni nani mwenye akili zake atamsaidia!? Tunajifunza kwa walioendelea hiyo piga ua aliye kutangulia kakutangulia tu.Labda nikuweke sawa. Historia ya Wakoloni popote pale itizame: Wakoloni kujenga shule haikuwa tafsiri ya wakazi wa eneo wanaokoloniwa wanapenda elimu. Tukumbuke mkoloni alikuja na malengo yake na ukamilishaji wa malengo yake iulifuata mfumo wake moja wapo ni suala la elimu.
Kwa hiyo ujenzi wa shule kwenye baadhi ya maeneo lengo ni kuweka daraja ambalo mkoloni litamsaidia kukamilisha malengo yake. Na hayo yote yaliwezekana ikiwa hilo eneo lilikuwa ni lenye amani. Kwa ufupi halikuwa na upinzani kwa Wakoloni. Wachagga hawana history ya kupambana na wakoloni.
Hakuna mtu anae unga mkono ukabila! Mi nasema binadam wote tuna ubinafsi na hiyo ni sifa kuu ya binadam. Sema hapo kwenye ubinafsi kuna wengine wana roho mbaya. Uchagani kuchangishana kwa ajili ya ujenzi wa shule au kutengeneza barabara ni vitu vya kawaida kabisa. Huyo mtu kawa waziri miaka mingapi?Alichozungumzia jamaa Patriot ni sahihi, wewe unachojibu ndiyo unaharibu kabisa. Sisi wote ni Watanzania, na Tz inaundwa na makabila tofauti. Suala la ajira la kitaifa kwa vile mdogo wako ana sifa ndiyo umpachike? Ndiyo utaratibu huo? Hivi unafikiria kwa mapana kweli?
Wachagga mna ukabila na hili lipo wazi! Na huyu tuliyenaye ana hiyo tabia na hili lipo wazi. Muhimu ni kukubali kwamba tulikosea na tuing'oe hiyo mizizi.
Dhambi ya umimi ndiyo iliyomuangamiza Ibilisi. Naona na wewe unapiga mahesabu kama ya kwake ya umimi a.k.a UsisiHakuna zawadi kubwa mtu aliyopewa na Mungu kama akili, hekima ni kitu bora sana! Wachaga walijitambua mapema sana. Haikuwa shida kwa wakoloni kuwabeba sababu walibebeka. Ona kama mjomba wetu alivyo jaa majigambo na ujuaji hivi ni nani mwenye akili zake atamsaidia!? Tunajifunza kwa walioendelea hiyo piga ua aliye kutangulia kakutangulia tu.
Mkuu hatubishani nataka nikuambie Nyerere kama asinge pewa upendeleo na wakoloni hivi leo asingekuwa baba wa taifa. Wakoloni ndiyo wanajua nini kwanini walipa Nyerere na siyo wale wanzilishi wakudai uhuru.Dhambi ya umimi ndiyo iliyomuangamiza Ibilisi. Naona na wewe unapiga mahesabu kama ya kwake ya umimi a.k.a Usisi
Unamsema Magu wakati wewe mwenyewe ndiyo walewale. Na sijui falsafa ya kusema "wakoloni waliwabeba watu wa kada fulani sababu walibebeka" sijui umetolea wapi. Kama wewe ndiye unayesema ni miongoni mwa mliyobebeka basi kapitie tena makabrasha yako kuhusu hiyo statement.
Mbona uchagani mmependelewa barabara lami Hadi Migombani wakati Kigoma na Katavi hakuna mtandao mkubwa was lami?Hii ya Chato ni mbaya! Lakini kwa nini hatuko tayari kulaani yote yaliyotokea na yanayotokea nchi hii?
Ukiamua kutetetea tuuuu hapo ndo tunasema wengi tunafurahia upendeleo unaotufikia kwa neema. Tunalazimisha kutumia hata takwimu zisizokuwepo na hasa hilo la elimu. Hapa TZ Wilaya pekee inayoweza kujivunia wasomi wa kiwango cha juu kabisa kuliko wilaya yoyote nyengine ni Ukerewe. Nasema tena Ukerewe na hiyo inafahamika. Kwa nini hawakujaa juu kote? sema jingine tu!
Kusoma kwa miaka ile, usiwape pongezi wazee wa kichaga, toa pongezi kwa wamisionari, hata Ukerewe ni hilo!
Kumbe kwenye biashara kuna mfumo chaga.Mfano kama mfumo upi? Alijaribu kwenye biashara ameshindwa.
Ni yale Yale tuuuuuMsuya si mchaga
Kwani wakati huko uchagani wanajenga barabara hadi migombani hawakujua kuna sehemu kama singida hawana stand?Hawakuona maeneo potential mengine zaid ya huko?Hakuna mikoa ambayo inahitaji kuendelezwa kuliko huko kwa JPM???...mnhhh eti usawa??? mambo yote yanayofanyika Chato ni usawa?? you must be blind my friend...
SIASA ZA NAMNA HII ZISHINDWE NA ZIKUTOKOMEA..Tanzania na siasa za ukanda(zones)
FOR YOU TO MAKE SENSE.. LOLIONDO HAKUNA ENEO LINAITWA NJOMBE.Iyo njombe iliyojaza akina manka labda itakuwa njombe ya loliondo.
Acha kuleta hadithi za sungura na fisi waliouza bagamoyo ni wasukuma?Sasa huko Geita ndugu zake Magufuli wakiwaona WAZUNGU wana timua mbio na kujificha wakiogopa kuadhirika kwa Kiingereza..!!!
Wewe unafikri kwanini Rais wako Magufuli anakaribia kumaliza muhula wa kwanza bado hajakanyaga nchi hata moya ya Ulaya???Kiingereza bhana ni shiiiiida kwa Wasukuma...!!.
Williamson Diamond alipofika Mwadui Shinyanga akakuta wazee wa Kisukuma wanacheza BAO kwa kutumia ALMASI..!! Mzungu chapuchapu akaenda kununua GOLOLI(sparkling glass materials) akawaambia hizo ndizo zinawafaa na akakusanya madini yote ya Almasi akaondoka nayo....!! Ndiyo maana hadi leo Shinyanga, Mwanza na Geita bado ni Mikoa maskini pamoja na kuwa kwenye maeneo ya MADINI....na bado wazungu weusi wa CCM wamerithi yaleyale ya kina Dr. John Williamson kutoka Canada aliyewatapeli wazee wa Kisukuma...!!