Tunalaani uwanja Chato, nchi hii upendeleo ulianza zamani Wachaga mkiongoza

Uwanja wa Songwe nao umewekwa kwenye "upendeleo". Kuueweka Songwe na Chato kwenye mizani moja inaonyesha ni jinsi gani ulivyokosa utetezi wa Chato. Mbeya ndio mji mkubwa kuliko yote nyanda za juu kusini. Hata kama Rais angetoka Mbeya, bado kulistahili Airport.
 
No wonder unajiita Zygote, stupid little brain. Endelea kulalamikia huko huko gizani tena anonymously..eti tunalaani,,wewe na Nani mnalaani? I thought unalaani ulichokitaja kumbe unalaani life itself mana even in life hatuwezi kua sawa. Sasa sikia, kampeni zinaanza next year au sio, jikusanyeni wewe na hao wenzako fanyeni kampeni mshike position nyeti mkajiwekee mabomba yanayotoa asali na maziwa huko kwenu.
 
akitoka msukuma anaingia msukuma tena! dadadeki mnadhani wachaga tu ndo mmeaoma?

wasukuma pelekeni watoto shule
 
Kwahiyo katika wote uliotaza Zuzu ni Mwinyi na Misikiti akifuatiwa na Sitta yeye aliona ofisi ya Spika ndio inawafaa
 
Mbona uchagani mmependelewa barabara lami Hadi Migombani wakati Kigoma na Katavi hakuna mtandao mkubwa was lami?
Unajua classification ya barabara lkn? Kuna barabara za Taifa(Trunk roads)- zinazounganisha mikoa, nchi jirani; barabara za mikoa; zinazounganisha wilaya na wilaya ndani ya mkoa.; barabara za Tamisemi au halmashauri(TARURA) ya sasa, zile za mgombani unazosema wewe. Mkizidiwa kwa barabara za mgombani basi ni uzembe wa mbunge, madiwani na ninyi wenyewe katika wilaya husika.
 
Huu mkoa wa Njombe umeendelea Kwa jitihada za wananchi wenyewe kwasababu haujawahi kupata hata kiongozi mmoja mkubwa serilikalini toka tupate uhuru. Kwa kule serikali ingewekeza nguvu mkoa ungekuwa wa mfano wa kuigwa na mingine
Filimoni Luhanjo karibu mkuu kiongozi kutoka Njombe alikuwa na kashfa za kujaza ndugu zake,kuwa xriac kidogo..tabia za upendeleo zife kitakuja kunuka siku moja
 
Suala la ubaguzi naona ni mtazamo wa mtu binafsi kama wewe na hutokea kwa watu wenye fikra za kibaguzi kama zako. Rais huwa ni wa nchi ya Tanzania akijenga chato au Kilimanjaro au Bagamoyo mradi ni ndani ya Tanzania inapaswa tumsapoti, mana kwa karne hii hakuna mwenye kwao watu wametawanyika kila kona kutafuta maisha, na hata wewe ipo siku utatua uwanja wa chato na utasahau ubaguzi wa Magufuli.

#tuondoe fikra za k8baguzi akilini mwetu#
 
Kote umeandika vizuri.

Ila kuwaweka Wahehe kwenye ubaguzi, umetukosea sana sanaaaa zaidi ya sana. Wahehe wameanza kushika nafasi nyeti za nchi hii miaka mingi na bado wameendelea kuwa wanyenyekevu na watiifu kwa maslahi mapana ya Taifa hili.

Ingalikua wana ubaguzi basi ungaliona ata successions ya viongozi wenye asili ya kihehe kwenye nafasi za juu za uongozi.

Yapo mengi yanayoweza kusemwa kuwahusu wahehe ila kwenye ukabila tafadhali nashindwa kusadiki uyasemayo.
 
Big up mkuu..
 
Hivi Chato ipo Congo au ni sehemu ya Tanzania!? Mbona watu wamejaa dharau na kuona kuwa eneo fulani ndio bora kuliko jingine?
 
Angalau wewe umekubali kudhihirisha mentality yenu
Hivi unafikiri wamisionari walikuwa wajinga? Waliona hao wachaga wana hari ya mafanikio na wanabebeka! Sehemu nyingine watu wanawaza ngono tu na ujuaji mwingi kama huyo muhutu.
 
Na Msuya alipopeleka umeme hadi migombani fedha iliiidhinishwa na nani
 
Nyerere hakuwa wa mchezo mchezo kuruhusu upuuzi kama huo. Ndiyo mara ya kwanza pesa chungu nzima za walipa kodi zinachotwa bila idhini ya Bunge.

Na Msuya alipopeleka umeme hadi migombani fedha iliiidhinishwa na nani
 
Barabara za Mramba ndio alijenga Mkoloni?
 
Hujui unachoandika hujui maendeleo yanavyofanywa

Enzi za Mramba na Msuya mlijioendelea wenyewe tulien Chato ijengwe
 
Mawazo mfilisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…