Tunalaani uwanja Chato, nchi hii upendeleo ulianza zamani Wachaga mkiongoza

Umezunguka kooote ila bandiko lako limewalenga Wachaga, wewe chuki binafsi na Wachaga.
 
Alipokuwa waziri wa ujenzi alitandika lami na sasa zinaendelea hamkisema, viwanja vimekarabatiwa hata Cha KIA bado kinaboreshwa, madaraja, flyovers, viwanja vya ndege vipya mikoani hamkisema. Sasa uwanja wa ndege kwenye mkoa maskini hajaandika jina lake, ndege si kwa jina lake ila makelelee weee. Haya yote ni wivu ili mikoa maskini ibaki na umaskini. Mjomba afanye hivyo hivyo na kigoma, mtwara, katavi, nk ili tuheshimiane.
 
Hao wanaosema walisoma mapema hawapo kwenye orodha ya walioua NMC, General Tyre, Reli n.k? Na waliosaini dili za TANESCO DOWANS na RICHMOND si ndo wale waliosoma zamani? Mjomba fungua fursa mikoa mingine tuheshimiane.
Wacha tufufue fursa mikoa mingine
 
Hujui unachoandika hujui maendeleo yanavyofanywa
Enzi za Mramba na Msuya mlijioendelea wenyewe tulien Chato ijengwe
Vinavyojengwa chato ni kwa Watanzania wote. Mwambieni DED auze viwanja kama vitauzwa kwa wana Chato tu.
 
Kusubiri fedha za budget ya serikali kuendeleza mkoa ni ndoto za mchana. Maendeleo ni zaidi ya kupata fedha za serikali. Maendeleo ni attitude. Kilimanjaro iko mbali sana kuikuta kwa kuitenga.
 
Nyakati baba na babu zetu wakisomesha wstoto wao kwa kuuza kahawa na ndizi kule Moshi, baba na babu zako walikua busy na madem sasa acha kujinasua endelea kumwaga lawama tutakuolea na dada zako, na ukiendelea tukulia mkeo na mwisho binti zsko
 
Ushuzi mtupu
 
Thread kama hii kubaki na Uongozi wa JF kuiacha..... Nakosa imani na umoja wa kitaifa.
 
Jamani jamani kwani kunatatizo gani wenzetu Chato kujengewa uwanja, hii ni nchi moja ni aibu kila kitu kuweka kwenye mjadala, umejengwa wanja ni mali ya Watanzania wote, hata akipendelea ni mali ya Watanzania wote nenda kawekeze Chato, malalamiko ya nini?
 

Propaganda za kuwagawa kuwafarakanisha wananchì na kuchochea uhasama wa kijima.
 
Mkuu hapo ndo utaona uzembe wa binadamu. Ktk majibizano haya, ningefurahi kuona angalau Mchaga mmoja akishuhudia alivyobebwa au alivyoshuhudia mchanga mwenzake akibebwa. Ajabu kila mmoja anarusha mitusi. Huo ni uzembe. PLO Lumumba aliwahi kushuhudia alivyoshauliwa mbinu ya kutumia ili ashinde ubunge, akakataa.

Upendeleo na ukabila kwa njia yoyote ni kitu cha hovyo. Ukitaka kujua upuuzi huo, unapokuwa nje ya wanaopendelewa ndo utatoa kilio cha mbwamwitu kama ilivyo sasa hivi. Eti kaskazini tunatengwa, mbona mulipoambiwa kubebana kikabila muliona sifa na wengine kujitambusliha makusudi ili muonekane? Binafsi nashuhudia ubaguzi wa wacahaga ni wa hovyo kabisa! Hadi Moshi wanazuia kuuza maji ya Uhai, soda za pepsi haziuzwi ili tu kutoa nafasi makampuni ya Mengi (RIP) yasiwe na mpinzani. Watu wanachagua hata mabasi ya kusafiri, lazima yawe ya wachaga, hata makanisani hawataki padri au askofu wa kabila lingine awe mkoani kwao!!!!!!
 
Kwa akili yako Msuya alipeleka umeme tu? Walipelekewa Elimu Kwanza yeye akaongezea umeme tu. Sasa nyie pokeen mbuga na uwanja mje mchukue wataalamu huku
 
Tunacholaani hapa ni ukabila na upendeleo. Kusomesha watu wa Chato imetoka wapi? Elimu haiondoi tabia ya upendeleo. Ni mchaga gani kasoma na hataki ukabila na upendeleo? Wapo na wengine wamesoma na bado wanapenda sana kupendeleana kama ambavyo imejadiliwa JF siku nyingi.

Vyuoni tunawasikia hata maprofesa waliosoma bado wanapendelea makabila yao. Tumeyasikia UD siku nyingi!
 
Una ignorance yenye innocence. Yaani ubaguzi umekuingia kiasi kwamba huoni kama unatenda makosa. Kwa nini umechagua machache ktk habari hiyo? Jibu hili dogo tu! Kwa nini Huwezi kuuza maji ya Uhai ndani ya mji wa Moshi? Kwa nini huwezi kuuza soda za pepsi ndani ya mji wa Moshi? Hao wahindi waliondoka mji wa moshi tu! Miji mingine walipoondoka ndo wachaga wakaingia?

Leo hii Mchaga ni mbunge wa Arusha, hebu fikiria mbunge wa Moshi atoke Arusha. Au utamwita bushman kama unavyoandika? Leo hii watu wa Moshi wananufaika na biashara wanazotengeza miji mikoa mingine au unadhani huko kuna bushmen?

Ubaguzi wa kipuuzi tu wakati uchagani bado ignorance iko juu.Rudia kusoma hiyo quote ya Mchunguzi yote, ndo utajua sasa makabila mengine yanawafahamu na mutaumia. Politically, pia mutaumizwa maana Chama cha kikabila hakifiki kokote!
 
kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa wamisionari (wazungu na waarabu?)walikuwa takribani kila kona ya ardhi ya Tanganyika..Ilikuwaje baadhi ya maeneo watu waende shule sana mengine wasiende ikiwa wamisionar walikuwepo kote kote?
 
Kwani huko hawasomi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…