chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Ufip ktk ubora wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umezunguka kooote ila bandiko lako limewalenga Wachaga, wewe chuki binafsi na Wachaga.Hapa JF, uependeleo na ubaguzi unalaaniwa kwa nguvu zote. Kwa vyama vya upinzani, uwanja wa Chato unatumika kama ishara ya upendeleo usiotakiwa. Hakika upendeleo ni mbaya. Tuambizane ukweli.
Ukimuacha Nyerere ktk ugawaji wa raslimali, waliofuata wote hata mawaziri wa Nyerere, walijaa upendeleo wa wazi wa makabila na dini zao. Kelele zetu kwa sasa ni kujisikia kwamba wewe haumo kwenye kundi linalopendelewa. Hatusemi yaliyofanyika kupendelea makabila yetu na dini zetu.
Elinawinga alihamisha vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro hasa Wachaga na kuwapeleka mikoa hadi Kigoma na Tabora ili kukwepa quarter system iliyokuwa imeanzishwa na Nyerere. Wakatumia majina ya makanisani bila kuweka yale ya ukoo hadi walipomaliza shule. Leo hii hatusemi. Msuya akahamisha pesa za maendeleo na kuzipeleka kuweka umeme mkoa wa Kilimanjaro Mwanga, ikapata umeme hadi kwenye migomba na palachichi.
Wale wa kanda hiyo munafurahia hadi leo eti, mumeendelea kuliko wengine. kuweni mashujaa kulaani tabia hiyo, hata kama ni ya zamani.
Baada ya Nyerere, alikuja Mwinyi. Yeye aliegemea dini yake kwa nguvu zote maeneo ya wazi yalivamiwa kujenga misikiti na miradi ya mafuta, kwa wale wa dini yake. Zanzibar alijichukulia eneo kubwaaaa na watu wakadeka. Waliofuta ikawa kama kawa! Awamu ya 4 ndo kabisaaa! Ilikuwa Dar na Pwani basi! Familia yake na marafiki ndo ilikuwa inatafutiwa maisha bora. Hata chama ikawa ni ni yeye mtoto na mkewe!
Tusisahau akina Sumayi na mikakati ya uwanja wa Arusha. Mwandosya na Songwe, Pinda na mkoa wa katavi wenye population chini kabisa! Sitta na ofisi ya spika Urambo. Tunajuana kwa ubaguzi wetu. Na sasa kuna uhakika kwamba kuna makabila yanayoongoza kwa ubaguzi; Wachaga, wahehe, wahaya, wengine wanafuata.
Vinavyojengwa chato ni kwa Watanzania wote. Mwambieni DED auze viwanja kama vitauzwa kwa wana Chato tu.Hujui unachoandika hujui maendeleo yanavyofanywa
Enzi za Mramba na Msuya mlijioendelea wenyewe tulien Chato ijengwe
Ushuzi mtupuHapa JF, uependeleo na ubaguzi unalaaniwa kwa nguvu zote. Kwa vyama vya upinzani, uwanja wa Chato unatumika kama ishara ya upendeleo usiotakiwa. Hakika upendeleo ni mbaya. Tuambizane ukweli.
Ukimuacha Nyerere ktk ugawaji wa raslimali, waliofuata wote hata mawaziri wa Nyerere, walijaa upendeleo wa wazi wa makabila na dini zao. Kelele zetu kwa sasa ni kujisikia kwamba wewe haumo kwenye kundi linalopendelewa. Hatusemi yaliyofanyika kupendelea makabila yetu na dini zetu.
Elinawinga alihamisha vijana wa Mkoa wa Kilimanjaro hasa Wachaga na kuwapeleka mikoa hadi Kigoma na Tabora ili kukwepa quarter system iliyokuwa imeanzishwa na Nyerere. Wakatumia majina ya makanisani bila kuweka yale ya ukoo hadi walipomaliza shule. Leo hii hatusemi. Msuya akahamisha pesa za maendeleo na kuzipeleka kuweka umeme mkoa wa Kilimanjaro Mwanga, ikapata umeme hadi kwenye migomba na palachichi.
Wale wa kanda hiyo munafurahia hadi leo eti, mumeendelea kuliko wengine. kuweni mashujaa kulaani tabia hiyo, hata kama ni ya zamani.
Baada ya Nyerere, alikuja Mwinyi. Yeye aliegemea dini yake kwa nguvu zote maeneo ya wazi yalivamiwa kujenga misikiti na miradi ya mafuta, kwa wale wa dini yake. Zanzibar alijichukulia eneo kubwaaaa na watu wakadeka. Waliofuta ikawa kama kawa! Awamu ya 4 ndo kabisaaa! Ilikuwa Dar na Pwani basi! Familia yake na marafiki ndo ilikuwa inatafutiwa maisha bora. Hata chama ikawa ni ni yeye mtoto na mkewe!
Tusisahau akina Sumayi na mikakati ya uwanja wa Arusha. Mwandosya na Songwe, Pinda na mkoa wa katavi wenye population chini kabisa! Sitta na ofisi ya spika Urambo. Tunajuana kwa ubaguzi wetu. Na sasa kuna uhakika kwamba kuna makabila yanayoongoza kwa ubaguzi; Wachaga, wahehe, wahaya, wengine wanafuata.
Zygot,
Wewe unataka kutuletea mitizamo hasi na finyu kama ya rafikiyo Bashite wakti wa msiba wa Reginald Mengi(rip).
Unaposema Wachaga wameendelea kwa upendeleo inaonesha jinsi ulivyo mbumbumbu wa historia ya nji hii.
Kama Rais Magufuli ameanza kupendelea Chato ili ipate maendeleo kwa vile ni kwao Rais....Katika historia ya nji hii, ni LINI TUMEWAHI KUWA NA RAIS MCHAGGA??
Wachagga ni wapiga Kazi tangu enzi za Mkolone hili hata Magufuli analijua. Hizi blabla za upendeleo wa Wachagga ni kuonesha mtu umeishiwa hoja....Tukupe pooole sana!!
Mkuu hapo ndo utaona uzembe wa binadamu. Ktk majibizano haya, ningefurahi kuona angalau Mchaga mmoja akishuhudia alivyobebwa au alivyoshuhudia mchanga mwenzake akibebwa. Ajabu kila mmoja anarusha mitusi. Huo ni uzembe. PLO Lumumba aliwahi kushuhudia alivyoshauliwa mbinu ya kutumia ili ashinde ubunge, akakataa.Alichozungumzia jamaa Patriot ni sahihi, wewe unachojibu ndiyo unaharibu kabisa. Sisi wote ni Watanzania, na Tz inaundwa na makabila tofauti. Suala la ajira la kitaifa kwa vile mdogo wako ana sifa ndiyo umpachike? Ndiyo utaratibu huo? Hivi unafikiria kwa mapana kweli?
Wachagga mna ukabila na hili lipo wazi! Na huyu tuliyenaye ana hiyo tabia na hili lipo wazi. Muhimu ni kukubali kwamba tulikosea na tuing'oe hiyo mizizi.
Hata sio ujinga, ni UPUMBAVU. Sisi wajinga ni watu na akili zetuUjinga mtupu
Tunacholaani hapa ni ukabila na upendeleo. Kusomesha watu wa Chato imetoka wapi? Elimu haiondoi tabia ya upendeleo. Ni mchaga gani kasoma na hataki ukabila na upendeleo? Wapo na wengine wamesoma na bado wanapenda sana kupendeleana kama ambavyo imejadiliwa JF siku nyingi.Sifa kuu ya binadam wote ni ubinafsi! Hapo kwenye ubinafsi akili ndiyo inatakiwa itumike, hata hivi leo mfano wewe ni bosi na kuna chance ya kazi imetokea na mdogo wako sifa anazo je hutamsaidia!?? Kuna methali moja ya kale inasema,
“huwezi kumpenda jirani yako kama wewe mwenyewe hujipendi”
Ukweli mtu aliye kulia kwenye umaskini ana ubinafsi ulio jaa roho mbaya. Kama Kweli huyu jamaa nikuwasaidia watu wake kwanini asiwekeze kwenye elimu?
Kutakua na faida gani kama garama kubwa zinatumika kujenga miradi mizuri wakati watumiaji ni mambu mbumbu? Hiyo miradi si itakuwa malisho ya punda! Tanzania ni yetu sote.
Una ignorance yenye innocence. Yaani ubaguzi umekuingia kiasi kwamba huoni kama unatenda makosa. Kwa nini umechagua machache ktk habari hiyo? Jibu hili dogo tu! Kwa nini Huwezi kuuza maji ya Uhai ndani ya mji wa Moshi? Kwa nini huwezi kuuza soda za pepsi ndani ya mji wa Moshi? Hao wahindi waliondoka mji wa moshi tu! Miji mingine walipoondoka ndo wachaga wakaingia?Enzi za wahitimu wa shule za msingi kusoma nje ya mikoa yao ilikua ni sera ya serikali. Mimi nlipelekwa Kibaha miaka hiyo. Kwamba mji wa Moshi siyo rafiki kwa wafanyabiashara kabila zingine iko hivi. Kabla ya hapo dukawallas kama ilivo walikua jamaa wa kiesia na wagiriki wachache. Wengi walifungasha virago baada ya 1967 .... vijimambo vya ujamaa. Sasa kama kuna Mpogoro alieshindwa kununua biashara ya Muhindi pale Moshi sidhani! NA Mkinga je? Msukuma? Ni ugoro kufikiria kivingine. Hivi hawa Wachagga walienda shule gani kujifunza biashara, je wengineo walisomea wapi?
By the way Chifu Makwaia alihamia Moshi miaka ileee! Mkwe Mtemi huyu Hakafurumishwa!
Issues za ajira za kikabila .... very petty kwa hiyo silijibu.
Huwezi kupelekea bushman maendeleo ilihali hana clue hiyo maendeleo ni kitu gani arawa!
kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa wamisionari (wazungu na waarabu?)walikuwa takribani kila kona ya ardhi ya Tanganyika..Ilikuwaje baadhi ya maeneo watu waende shule sana mengine wasiende ikiwa wamisionar walikuwepo kote kote?Hii ya Chato ni mbaya! Lakini kwa nini hatuko tayari kulaani yote yaliyotokea na yanayotokea nchi hii?
Ukiamua kutetetea tuuuu hapo ndo tunasema wengi tunafurahia upendeleo unaotufikia kwa neema. Tunalazimisha kutumia hata takwimu zisizokuwepo na hasa hilo la elimu. Hapa TZ Wilaya pekee inayoweza kujivunia wasomi wa kiwango cha juu kabisa kuliko wilaya yoyote nyengine ni Ukerewe. Nasema tena Ukerewe na hiyo inafahamika. Kwa nini hawakujaa juu kote? sema jingine tu!
Kusoma kwa miaka ile, usiwape pongezi wazee wa kichaga, toa pongezi kwa wamisionari, hata Ukerewe ni hilo!
Kwani huko hawasomi?Mkuu hakuna mtu anae kataa usipendelee kwenu! Mfano kama huyu mjomba hiyo garama ya ujenzi wa kiwanja cha ndege kwanini asinge wekeza zaidi kwenye elimu ili watu wake waelimike zaidi? Huko Kilimanjaro kunaendelea kwa sababu wazee waliwa somesha watoto wao.