Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.
Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawitibwaliohusika kwenye tukio la binti wa Yombo dovya wanafikishwa mahakamani haraka pamoja na Boss wao aliyewatuma kufanya unyama ule.
Nashangazwa na ukimya wa TLS na asasi nyingine za haki za binadamu, kwa hili hatutokaa kimya, tunataka haki ya binti itendeke na ionekane imetendeka.
Cc: Advocate
Pascal Mayalla kwa maslahi ya Taifa.
Maxence Melo tunaomba coverage ya JF ina mdomo mpana mpaka hadi viwizi huwa wanausikia.