Tunalitaka Jeshi la Polisi liueleze umma, ni kwa nini wabakaji na walawiti wanajeshi na Boss wao hawafikishwi mahakamani?

Tunalitaka Jeshi la Polisi liueleze umma, ni kwa nini wabakaji na walawiti wanajeshi na Boss wao hawafikishwi mahakamani?

Nafikiri kosa la jinai mlalamikaji anakua Jamhuri ndiyo sababu hukuti mawakili wakiomba msaada wa kipesa
Basi kile nilichokuwa nakiulizia wamekifanya tayari.
Soma hizo attachments chini hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20240823_094917.jpg
    Screenshot_20240823_094917.jpg
    570.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240823_094851.jpg
    Screenshot_20240823_094851.jpg
    764.1 KB · Views: 1
Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa.

Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawiti waliohusika kwenye tukio la binti wa Yombo dovya wanafikishwa mahakamani haraka pamoja na Boss wao aliyewatuma kufanya unyama ule.

Nashangazwa na ukimya wa TLS na asasi nyingine za haki za binadamu, kwa hili hatutokaa kimya, tunataka haki ya binti itendeke na ionekane imetendeka.

Cc: Advocate Pascal Mayalla kwa maslahi ya Taifa.

Maxence Melo tunaomba coverage ya JF ina mdomo mpana mpaka hadi viwizi huwa wanausikia.
Hata wakifikishwa mahakamani usitalijie yakuwa watahukumiwa na kuviishi vifungo vyao km wafungwa wengine., bali wao wataenda gerazani km kuzuga baada ya wiki chache wanatoka na kuendeleza shughuli zao km kawaida, kubaka kwa saana maana watakuwa na hasira ya kunanii kwa wing tu maan nchi washaigeuza km yakwao. HII NDIO TANZANIA
 
Back
Top Bottom