Tunalitaka Jeshi la Polisi liueleze umma, ni kwa nini wabakaji na walawiti wanajeshi na Boss wao hawafikishwi mahakamani?

Kabisa katika mambo yanakera ni jambo hili, mtu kama mimi nikiri nimekuwa kwa kiasi kikubwa na support serikali lakini kwenye hili hapana. Kuna haja ya jambo hili kupigiwa kelele sana na sio kwamba hakuna matukio mengine yametokea ila hili liwe ni mfano na funzo kwa polisi kwamba haya mambo hayatakaliwa kimya. Naomba tulitumie hili tukio kama mifano ya matukio mengi nchi hii. Ujumbe uende kuwa sauti ya wengi ina nguvu, sauti ya haki ina nguvu.
 
Usidhani naandika hapa kujifurahisha, najuwa msg inakwenda wapi direct.

View guests kwenye hii thread utajifunza kitu, wao huwa hawachangii mada yoyote.
Kama hujui!

Baada ya mfumo dume kitaa Hadi kwenye Dini kuwa kikwazo kwake mtia nia,wanawake pekee ndio ilikua kimbilio lake yaani kete ya mwisho!

Wale jamaa wakaamua kuchafua image yake Kwa wanawake Ili wamkatae na wao na kweli Hadi Sasa sijui Hali ya kina mama kwenye hili ipoje!!
Kumbuka hai ni mabaka baka!ngoja tuone!
 
Jeshi lina mahakama zao na magreza yao,watalishughulikia kijeshi Kwa mujibu wa Sheria za kijeshi na taratibu zao na hawana utaratibu was kutoa mambo Yao ya kijeshi hadharani!!
Ni kwenye kesi hiyo tu? Mbona zinazohusu watu wengine hasa wanaoikosoa serikali wanazitoa hadharani na maelezo mengi tu iweje hii??
 
wanasema huyo mdada "ni kama anajiuza",,,,,yaani neno KAMA nilinamaanisha ata polisi wenyewe wanaochunguza hii kesi hawana uhakika kama anajiuza au hajiuzi"...lakini nashangaa ukinunua mzigo si unaubeba??? mbona huyo dada hawakumbeba???
 
tubaki na kauli ya Mbowe kuwa ''hawa wapo kazini hata wao inawauma ila hawana jinsi"
 
UCHUNGUZI UCHUNGUZI
SIJUI FILE HALIJAFIKA KWANGU
MARA FILE WANALIPITIA
UKISHASIKIA MANENO MANENO KAMA HAYA MTU ANASEMA ,JUWA
KUNA UTAPELI, UWONGO UNATENGENEZWA....KWENYE KESI FULANI
HAPO MTU ANATENGENEZEWA MAZINGIRA
TZ NI NCHI MOJA TAASISI ZAKE
ZINAFANYAGA MAMBO YA KIPUZZZ SANA

ova
 
Ni
Polisi wanasema binti alikuwa anajiuza, ushahidi wa video upo, je vitendo hivyo ni halali?

Kwa nini Polisi wanadhani kila mtu ni mpumbavu mwenzao?NI mpumbavu ndio... Unapinga nini, chukua hatua sasa
 
Hii kesi upelezi uanze upya sina imani na upelelezi uliofanyika chini ya RPC huyu.
 
Polisi, wanajeshi ni watu wazito kiasi hicho mbona kigugumizi kimezidi.

Mtoto wako akiwa muovu unamtoa tu kafara akafie mbele, unakuwaje na kitoto kifiraj* afu unakilinda? Kweli kuna watu hawana aibu.
 
Shangazi wa Taifa hajasikika kabisa ingependeza naye awe CCed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…