Tunalitaka Jeshi la Polisi liueleze umma, ni kwa nini wabakaji na walawiti wanajeshi na Boss wao hawafikishwi mahakamani?

Nafikiri kosa la jinai mlalamikaji anakua Jamhuri ndiyo sababu hukuti mawakili wakiomba msaada wa kipesa
Basi kile nilichokuwa nakiulizia wamekifanya tayari.
Soma hizo attachments chini hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20240823_094917.jpg
    570.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240823_094851.jpg
    764.1 KB · Views: 1
Hata wakifikishwa mahakamani usitalijie yakuwa watahukumiwa na kuviishi vifungo vyao km wafungwa wengine., bali wao wataenda gerazani km kuzuga baada ya wiki chache wanatoka na kuendeleza shughuli zao km kawaida, kubaka kwa saana maana watakuwa na hasira ya kunanii kwa wing tu maan nchi washaigeuza km yakwao. HII NDIO TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…