PreGE2025 Tunamhujumu Rais wetu kwa faida ya nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
1,959
Reaction score
3,172
Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.

Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.

Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!

No ,this is unfair.

Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu.

Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahijiwe kwa masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.

Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.

Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!

No ,this is unfair.

Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu

Katika nchi yoyote ile yenye Utawala uliofitinika, mambo Kama haya ni ya kawaida kabisa kutokea.
Hizi kwa kawaida huwa ni dalili za mwisho kabisa kabla ya kuanguka kwa 'Mnara wa Babeli.' Na ukiona hivi, tambua ya kwamba Wajenzi wa Mnara wa Babeli kwa sasa kamwe hawaongei tena lugha moja!
 
Mtu anavujisha upuz wanaofanya
Watumishi ndiyo mnasema rais ana hujumiwa,hapo rais anatakiwa ndiyo alifanyie kazi
Cha ajabu nchii hii na serikali hii utashangaa kesi nguvu kubwa itahamishwa kwa mvujishaji
Ila waliyofanya upuz watapeta

Ova
 
ingekuwa uzi wako umetoa mda wa jioni ningesema kakojoe ukalale.Ila umetoa mchana na kwambie nenda ukanye ukatembee labda umekosa la kuongea.
Mkuu wewe lazima utakuwa ni Chadema tu ,mnafurahia sana Mh Rais wetu awe anagonga vise versa zakibabe.

Msifanye hivyo wazee kama tatizo ni Lissu wenu tutaongea na #Maza amfutia kesi yake hahahhahaaa
 
Anajihujumu mwenyewe, mdomo unaongea kila kitu hata visivyostahili kuongelewa.
 
Kuficha wizi sio uzalendo, lakini pia waliovujisha lengo lilikuwa ni nini?
 
Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.

Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.

Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!

No ,this is unfair.

Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu
Kwa faida ya kina MDUDE, SOKA na CHAULA
 
Uzalendo namba ni kufichua uovu (dhidi ya taifa) popote ulipo!
 
Usipo fuata utawala wa sheria lazima upate changamoto kama hizi
CCM wanataka njia za mkato tumeandika sana humu tumeonekana wachochezi eti wenyewe ndiyo wazalendo tena wengine hujiita wazalendo namba moja

Wengine eti hatuna adabu hutaki kushaurika kumbe ni kweli asiye sikia la mkuu huvunjika guu

Hitimisho sababu kuu ni muingiliano wa mihimili na migongano, pamoja na mfumo wa kujizima data yaani kuahirisha kufikiri kizalendo kwasasa uchawa, kwa masilahi binafsi ama kikundi, (CCM)
 
Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.

Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.

Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!

No ,this is unfair.

Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu
Kwanza ujue yeye ni member wa mange app.
 
Back
Top Bottom