PreGE2025 Tunamhujumu Rais wetu kwa faida ya nani?

PreGE2025 Tunamhujumu Rais wetu kwa faida ya nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.

Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.

Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!

No ,this is unfair.

Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu.

View attachment 3344147
Pumbaff. Mbona amekuwa akihujumu taifa letu hasa Tanganyika tangu aangukie urais uliomshinda nyambaff kubwa?
 
Back
Top Bottom