PreGE2025 Tunamhujumu Rais wetu kwa faida ya nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.

Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.

Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!

No ,this is unfair.

Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu.

View attachment 3344147
Yeye ndiye anayetuhujumu watanzania.
 
Mama Amereflect Hali Halisi ya Sisi Watanzania Kea asilimia Kubwa..

Itokee kazini kuna wabadhirifu halafu uwataje au hata ukataze ujue uko matatani.
 
Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.

Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.

Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!

No ,this is unfair.

Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu.

View attachment 3344147
hivi kweli, uishi kwenye nchi inayoteka watu kama ilivyofanya kwa mdude, halafu uipende usiisaliti? ati mimi nina faili la samia nisiliweke wazi? ukatili mnaoufanya ndio unafanya watu wasiwe wazalendo. mashetani wakubwa nyie na Mungu atawashughulikia. jiwe yuko wapi? wale aliowauwa yupo nao huko alikoenda hadi atakuwa anajilaumu angewaacha tu hai kwa sababu hajafaidika chochote. mmefaidika na nini kumteka mdude, kuua watu mnafaidika nini? yule kijana mmoja alitupwa kwenye mbuga aliwe na fisi Mungu akamwokoa, hadi hapo hamjui tu kuwa Mungu anawaona ndio maana wengine mnaowaumiza anawaokoa? mwogopeni Mungu kwa sababu anarekodi kila mnachofanya na Mungu ni wa haki, humlipa kila mtu sawasawa na matendo yake.
 
Yeye ndiye anatuhujumu wananchi. Uongozi/ utawala ni jukumu la hiyari, ukishindwa unajiuzuru unawaachia wanaoweza.

Lakini ukishindwa halafu unang'ang'ania huko ni kutuhujumu wananchi. Ni kama tunakulipa bila kutufanyia kazi.
 
Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.

Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.

Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!

No ,this is unfair.

Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu.

View attachment 3344147
Wenu wewe na nani? acha ujinga
 
Rais kajihujumu mwenyewe. Mshahara wa dhambi ni mauti
 
Anatoka kuongea kuvuja kwa taarifa za serikali mitandaoni kwa namna aliyoisema ni dhahiri anauambia umma kuwa kuna matumizi mabaya ya fedha.
Kama ni matumizi ya kawaida asingepandisha sukari hivo
 
Ila maza aligusa pabaya sana kwa Dr. Fr. Kitima na Mdude aka sumu ya nyigu atajuta sana. Hapo haelewi hata anaongea nini huku Gwajiboy naye kamkaanga vibaya.
 
Nchi ipo kwenye udhalilifu mkubwa kwa kuongozwa na kiongozi asio lender matirio
 
Sema mama enu ananyooshwa youtube huko kudadeki watt wakikenya hawana adabu kbsa
 
Watu wanatekwa,kupotezwa, kulawitiwa na kubakwa eti uongee kwa sauti ya upole tena kwakuomba vile vile koleo uite kijiko kikubwa, hata ufisadi uombe duu
Ndio hatari huu mkuu. Haka kabibi ka kukemea kwa maneno na vitendo. Kabla watanfanyika hawaja fika pabaya au oa ubaya ubwela wata apply all means za kujikoomboa so wakikaza mafuvu tutafikatu. Muda utajibu
 
Tatizo tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe

Ngoja Jamii mafuvu yarudishiwe akili, watawala ama washika tonge hawapendi kelelele za chura lakini hawataki kuhama kwenye nyumba ambazo ziko karibu na madimbwi

Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
Tatizo tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe
Mkuu kila kitu ni hatua amini mambo yanataka muda na njia na misukosuko yakuneemesha hasira na munkari wa maraia.
 
Binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri ukitaka kujua binadamu ana akili sana akipata yasiyotarajiwa ama changamoto, huamsha ubongo kuchakata taarifa, (mafaili), aliyo tunza kwenye ubongo kulingana na changamoto aliyo pata na kama hana faili atenda kuomba msaada
kumbe akifanya hivyo hukutana na ubunifu ambao hata mtesi wake hawezi kugundua ubunifu wake kirahisi
 
Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.

Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.

Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!

No ,this is unfair.

Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu.

View attachment 3344147
Anawataka na kuuwa raia kwa faida nani?
 
Back
Top Bottom