Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahijiwe kwa masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.
Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.
Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!
No ,this is unfair.
Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu
Mkuu wewe lazima utakuwa ni Chadema tu ,mnafurahia sana Mh Rais wetu awe anagonga vise versa zakibabe.ingekuwa uzi wako umetoa mda wa jioni ningesema kakojoe ukalale.Ila umetoa mchana na kwambie nenda ukanye ukatembee labda umekosa la kuongea.
Kwa faida ya kina MDUDE, SOKA na CHAULAWaliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.
Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.
Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!
No ,this is unfair.
Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu
Uzalendo namba ni kufichua uovu (dhidi ya taifa) popote ulipo!Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.
Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.
Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!
No ,this is unfair.
Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu
Kwanza ujue yeye ni member wa mange app.Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .