PreGE2025 Tunamhujumu Rais wetu kwa faida ya nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Anahujumiwa au Yeye anajihujumu?

Hawezi kufikiria? Wanaofanya ufisadi kuiba hela za Watanzania si watu wa cycle yake na mtoto wake?

Anayeteka Watanzania wasio na hatia kuwapoteza na kuwaua si yeye mwenyewe?
 
We utajikojolea kaamke, hayo ni mambo madogo sana mpk aseme hadharani wahusika wameshashughulikiwa. Kwa mifumo ya sahv utapatikana tu tena ndani ya muda mfupi. Ameyasema hadhari kuwatahadharisha wengine. Usisahau kwenye system wapo Sukuma gang, hao ni hatari kuliko upinzani.
 
ChoiceVariable
 
Ujinga tuu eti wanamkomoa Samia Mzanzibar 😁😁
 
Hao wanao endelea kufanya kazi hiyo ya kumuhujumu waendeleee hivyo hivyo mpakka arudi kwa mstari yaani.
 
Tatizo watz wengi elimu ya uraia iko kushoto utasikia mtu anasema uzalendo uzalendo uzalendo. Kitu cha kwanza ni HAKI unafuata Uzalendo, bila haki hakuna uzalendo hata ulazimishe vipi. Kukiwa na uonevu, ufisadi(watu wachache kufaidi keki ya taifa),kutokusikilizwa kwa wananchi nk imba ujuavyo kuhusu uzalendo hakuna atakayekuwa mzalendo. Leo hii wananchi wanafurahia watz wenzao kufa mf askari polisi waliopigwa radi nk, kuna sehemu viongozi mnakosea jirekebisheni matumizi ya nguvu zisizo za lazima acheni tunakoelekea siyo pazuri.
 
anajihujumu mwenyewe aliekosa haya huyo
 
Anajihujumu mwenyewe sheikh.
 
Sisi na yeye anaye hujumu wenzake ni nani...? Tumia akili zako acha ungese
 
Mkuu kuitetea Tanganyika ukiitwa huna adabu sawa tu. Ila nyerere ametuachia balaa sana
 
Wewe ni mpuuzi!
 
..Kiongozi asiyetaka mabadiliko, anayelea watekaji na wauwaji, na Mtumishi anayefichua uozo serikalini, yupi ni mzalendo wa kweli?
 
😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…