Yeye ndiye anayetuhujumu watanzania.Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.
Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.
Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!
No ,this is unfair.
Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu.
View attachment 3344147
Watu wanatekwa,kupotezwa, kulawitiwa na kubakwa eti uongee kwa sauti ya upole tena kwakuomba vile vile koleo uite kijiko kikubwa, hata ufisadi uombe duuMkuu kuitetea Tanganyika ukiitwa huna adabu sawa tu. Ila nyerere ametuachia balaa sana
hivi kweli, uishi kwenye nchi inayoteka watu kama ilivyofanya kwa mdude, halafu uipende usiisaliti? ati mimi nina faili la samia nisiliweke wazi? ukatili mnaoufanya ndio unafanya watu wasiwe wazalendo. mashetani wakubwa nyie na Mungu atawashughulikia. jiwe yuko wapi? wale aliowauwa yupo nao huko alikoenda hadi atakuwa anajilaumu angewaacha tu hai kwa sababu hajafaidika chochote. mmefaidika na nini kumteka mdude, kuua watu mnafaidika nini? yule kijana mmoja alitupwa kwenye mbuga aliwe na fisi Mungu akamwokoa, hadi hapo hamjui tu kuwa Mungu anawaona ndio maana wengine mnaowaumiza anawaokoa? mwogopeni Mungu kwa sababu anarekodi kila mnachofanya na Mungu ni wa haki, humlipa kila mtu sawasawa na matendo yake.Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.
Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.
Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!
No ,this is unfair.
Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu.
View attachment 3344147
Wenu wewe na nani? acha ujingaWaliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.
Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.
Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!
No ,this is unfair.
Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu.
View attachment 3344147
Rais kajihujumu mwenyewe. Mshahara wa dhambi ni mautiWaliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .
Yeah, hii ni hujma.
Haiwezekani Rais wangu ninaemjua kwa uzalendo wake leo asimame na kuchukizwa na aliyevujisha mafaili ya ubadhirifu badala ya kuwapongeza kwa tendo lao kuu na la kijasiri.
Au CHADEMA ndiyo washamroga Mama yetu? Eeh!
No ,this is unfair.
Haikubaliki kumfanyia hivyo Rais wetu.
View attachment 3344147
Ndio hatari huu mkuu. Haka kabibi ka kukemea kwa maneno na vitendo. Kabla watanfanyika hawaja fika pabaya au oa ubaya ubwela wata apply all means za kujikoomboa so wakikaza mafuvu tutafikatu. Muda utajibuWatu wanatekwa,kupotezwa, kulawitiwa na kubakwa eti uongee kwa sauti ya upole tena kwakuomba vile vile koleo uite kijiko kikubwa, hata ufisadi uombe duu
Tatizo tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka weweNdio hatari huu mkuu. Haka kabibi ka kukemea kwa maneno na vitendo. Kabla watanfanyika hawaja fika pabaya au oa ubaya ubwela wata apply all means za kujikoomboa so wakikaza mafuvu tutafikatu. Muda utajibu
Mkuu kila kitu ni hatua amini mambo yanataka muda na njia na misukosuko yakuneemesha hasira na munkari wa maraia.Tatizo tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe
Binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri ukitaka kujua binadamu ana akili sana akipata yasiyotarajiwa ama changamoto, huamsha ubongo kuchakata taarifa, (mafaili), aliyo tunza kwenye ubongo kulingana na changamoto aliyo pata na kama hana faili atenda kuomba msaadaMkuu kila kitu ni hatua amini mambo yanataka muda na njia na misukosuko yakuneemesha hasira na munkari wa maraia.
Anawataka na kuuwa raia kwa faida nani?Waliyopewa dhamana ya kuhakikisha Rais wetu anakuwa kwenye utulivu wa kiroho na kimwili wakamatwe na wahojiwe kwa zaidi ya masaa 72 .