Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

Leave alone our saint to be!! because he was behind sokoine successes, the saint has done a lot to Tanzanians anyone who is accusing him is doing that under "alcohol influence"
 
That have to be the truth,, that Sokoine was killed..

hope one day the truth will come out and the sinners get their punishment for that..

corruption and money laundering stated so may day ago..
 
That have to be the truth,, that Sokoine was killed..

hope one day the truth will come out and the sinners get their punishment for that..

corruption and money laundering stated so may day ago..



iko siku tutapata ukweli
 
Its real hard...... Very hard,now i don know what to do anymore,may be sokoine's death was planned
 
Imagine angekuwa hai tungekuwa angalau na kichwa cha kujivunia
 
CCM is another mafia,the death of the late Sokoine was staged!this is real unfair!!!!!!!!
 
Kuna mjeshi anayeishi kinondoni anasema Cleopa na al marhum Rashidi wanajua vizuri kilichotokea !!!
 
hivi tumuulize nani kuhusu hii kitu ?
 

Ungetoa hiyo jina lako kwanza alafu uje na hii pumba. We need to know for the fact of record,history and rest he was the man on the middle of war against fisadis of that time and for the fact this is the right time ,we need to get answers on how,who and what real lead to Sokoine's death.

I still believe one day will get there.Ref. OUKO- Kenya

My take
Any one with the records i.e.pics for the accident etc.
 
Naona wanajamvi tumekuwa obsessed na vifo vya watu, tukimaliza hili tutaamia kwa kifo cha nani? Babu, Kambona, au Hanga?
 

Thanks wewe umetoa kitu sahihi na nafikiri umri wako unaendana na wangu ndiyo maana unataarifa sahihi siyo wanaoibua mjadala eti the to be saint alihusika kummuua Sokoine.
 

Mwanajamvi, kwa jinsi ulivyojenga hoja yako ZUIZI utafikiri unajihisi kwamba matokeo ya uchunguzi yataishia kubaini kwamba muuaji ama mpanga mauaji ulikuwa ni wewe au mtu wa karibu na wewe!
 
Mwanajamvi, kwa jinsi ulivyojenga hoja yako ZUIZI utafikiri unajihisi kwamba matokeo ya uchunguzi yataishia kubaini kwamba muuaji ama mpanga mauaji ulikuwa ni wewe au mtu wa karibu na wewe!

aha ha ha.....truth has to be found! even after 100 years.
 
Baada ya Sokoine hoja itahamia kwa Baba wa Taifa, je nae alikufa natural death?!!!!!!!!!!!!!!mmh!!!
 
Ninasikitika kuwa marehemu Edward Moringe Sokoine alipatwa na mauti pasipo huruma na mafisadi wa enzi za utawala wa nyerere chini ya mfumo wa kijamaa na walijulikana wakati ule kama Wahujumu wa uchumi.

Sokoine alitangaza vita na hao mafisadi akidhamiria kuanza na viongozi wa juu wa nchi akiwemo waziri wa fedha wa wakati ule mh. CM (a.k.a Kila mtu atabeba msalaba wake) na hatimaye kwenda kwa wafanyabiashara wa aina zote wakiwemo kina Ladak .. jamani nyerere akamkataza.... akatumia delaying tactic na kunsihi aanze na wafanya biashara ndogo kwanza..... lengo ni wakubwa wa nchi kuharakisha kuficha mali zao ....... sokoine akapangiwa hitman mwenye asili ya kabila la Wazulu..... Dumisani Dube.... akafa, akazikwa na mizimu yake siku moja itarudi kutuuliza..... pita njia ya Morogoro kwenda Dodoma .... Wami Sokoine utatamani kulia... ukiona kumbukumbu ile ya waziri mkuu wa zamani wa Tanzania.... majani mengi na uchafu katika mazingira.... tombstone isiyo na thamani....., maandishi yasiyoonekana...., na huruma kubwa ya picha yenye kutotoa taswira kamili ya marehemu sokoine

nani atathubutu kama Sokoine...... ni nani ninauliza........ nani atajitoa muhanga kama sokoine atupatie ufumbuzi wa katiba mpya hata kama atakatazwa na mafisadi.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…