Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

Leave alone our saint to be!! because he was behind sokoine successes, the saint has done a lot to Tanzanians anyone who is accusing him is doing that under "alcohol influence"
 
That have to be the truth,, that Sokoine was killed..

hope one day the truth will come out and the sinners get their punishment for that..

corruption and money laundering stated so may day ago..
 
That have to be the truth,, that Sokoine was killed..

hope one day the truth will come out and the sinners get their punishment for that..

corruption and money laundering stated so may day ago..



iko siku tutapata ukweli
 
Its real hard...... Very hard,now i don know what to do anymore,may be sokoine's death was planned
 
Imagine angekuwa hai tungekuwa angalau na kichwa cha kujivunia
 
CCM is another mafia,the death of the late Sokoine was staged!this is real unfair!!!!!!!!
 
Kuna mjeshi anayeishi kinondoni anasema Cleopa na al marhum Rashidi wanajua vizuri kilichotokea !!!
 
Lakini pia tuangalie kifo chake kichunguzwe ili iweje after all these years? Wenye haki ya kusema maiti yake ifukuliwe au uchunguzi ufanyike tena ni familia yake tu. Hapa tuna bidi tuconsider matakwa ya familia siyo kudai vitu tu just because it cures our curiosity. Sokoine hata rudi tena na milele itabaki mawazo ya "what could have been". Kama ni kuchunguza ni kwa faida ya nani? Na tukisha pata majibu(iwe kauliwa au ajali) then what? Kuna mdau mmoja huko nyuma alisema kama ni ajali sawa kama ni mkono wa mtu wao wata jibu mashtaka kwa Mungu wao. Personally sikubaliani na kuanza kuchunguza mambo tena bila kujua matakwa ya familia yake na pia bila kujua uchunguzi utaleta faida gani na kwa nani. R.I.P. ES
.

Ungetoa hiyo jina lako kwanza alafu uje na hii pumba. We need to know for the fact of record,history and rest he was the man on the middle of war against fisadis of that time and for the fact this is the right time ,we need to get answers on how,who and what real lead to Sokoine's death.

I still believe one day will get there.Ref. OUKO- Kenya

My take
Any one with the records i.e.pics for the accident etc.
 
Naona wanajamvi tumekuwa obsessed na vifo vya watu, tukimaliza hili tutaamia kwa kifo cha nani? Babu, Kambona, au Hanga?
 
team up between KAWAWA and CLEOPA...succession politics ,coupled with ufisadi[uhujumu wa uchumi]....finish!!!....mwalimu hahusiki kabisa...,alilia sana kwa sababu alijuwa amepoteza mrithi ...mafisadi walijuwa msimamo wa sokoine ulikuwa mkali zaidi ya wa mwalimu..wakajuwa akichukua nchi basi...........baada ya sokoine karata ya mwalimu ikaangukia kwa SALIM ...naye pia akapigwa jungu...kilichoendelea sio siiri tena!!

Thanks wewe umetoa kitu sahihi na nafikiri umri wako unaendana na wangu ndiyo maana unataarifa sahihi siyo wanaoibua mjadala eti the to be saint alihusika kummuua Sokoine.
 
Lakini pia tuangalie kifo chake kichunguzwe ili iweje after all these years? Wenye haki ya kusema maiti yake ifukuliwe au uchunguzi ufanyike tena ni familia yake tu. Hapa tuna bidi tuconsider matakwa ya familia siyo kudai vitu tu just because it cures our curiosity. Sokoine hata rudi tena na milele itabaki mawazo ya "what could have been". Kama ni kuchunguza ni kwa faida ya nani? Na tukisha pata majibu(iwe kauliwa au ajali) then what? Kuna mdau mmoja huko nyuma alisema kama ni ajali sawa kama ni mkono wa mtu wao wata jibu mashtaka kwa Mungu wao. Personally sikubaliani na kuanza kuchunguza mambo tena bila kujua matakwa ya familia yake na pia bila kujua uchunguzi utaleta faida gani na kwa nani. R.I.P. ES.

Mwanajamvi, kwa jinsi ulivyojenga hoja yako ZUIZI utafikiri unajihisi kwamba matokeo ya uchunguzi yataishia kubaini kwamba muuaji ama mpanga mauaji ulikuwa ni wewe au mtu wa karibu na wewe!
 
Mwanajamvi, kwa jinsi ulivyojenga hoja yako ZUIZI utafikiri unajihisi kwamba matokeo ya uchunguzi yataishia kubaini kwamba muuaji ama mpanga mauaji ulikuwa ni wewe au mtu wa karibu na wewe!

aha ha ha.....truth has to be found! even after 100 years.
 
Baada ya Sokoine hoja itahamia kwa Baba wa Taifa, je nae alikufa natural death?!!!!!!!!!!!!!!mmh!!!
 
Ninasikitika kuwa marehemu Edward Moringe Sokoine alipatwa na mauti pasipo huruma na mafisadi wa enzi za utawala wa nyerere chini ya mfumo wa kijamaa na walijulikana wakati ule kama Wahujumu wa uchumi.

Sokoine alitangaza vita na hao mafisadi akidhamiria kuanza na viongozi wa juu wa nchi akiwemo waziri wa fedha wa wakati ule mh. CM (a.k.a Kila mtu atabeba msalaba wake) na hatimaye kwenda kwa wafanyabiashara wa aina zote wakiwemo kina Ladak .. jamani nyerere akamkataza.... akatumia delaying tactic na kunsihi aanze na wafanya biashara ndogo kwanza..... lengo ni wakubwa wa nchi kuharakisha kuficha mali zao ....... sokoine akapangiwa hitman mwenye asili ya kabila la Wazulu..... Dumisani Dube.... akafa, akazikwa na mizimu yake siku moja itarudi kutuuliza..... pita njia ya Morogoro kwenda Dodoma .... Wami Sokoine utatamani kulia... ukiona kumbukumbu ile ya waziri mkuu wa zamani wa Tanzania.... majani mengi na uchafu katika mazingira.... tombstone isiyo na thamani....., maandishi yasiyoonekana...., na huruma kubwa ya picha yenye kutotoa taswira kamili ya marehemu sokoine

nani atathubutu kama Sokoine...... ni nani ninauliza........ nani atajitoa muhanga kama sokoine atupatie ufumbuzi wa katiba mpya hata kama atakatazwa na mafisadi.......
 
Back
Top Bottom