Madikizela
JF-Expert Member
- Jul 4, 2009
- 679
- 450
Leave alone our saint to be!! because he was behind sokoine successes, the saint has done a lot to Tanzanians anyone who is accusing him is doing that under "alcohol influence"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That have to be the truth,, that Sokoine was killed..
hope one day the truth will come out and the sinners get their punishment for that..
corruption and money laundering stated so may day ago..
Find out about Prof Shaba...the truth is simple and is out there.. The soon to be saint was the one responsible..
Imagine angekuwa hai tungekuwa angalau na kichwa cha kujivunia
Kweli kabisa na huenda tungekuwa mbali kiuchumi!Imagine angekuwa hai tungekuwa angalau na kichwa cha kujivunia
.Lakini pia tuangalie kifo chake kichunguzwe ili iweje after all these years? Wenye haki ya kusema maiti yake ifukuliwe au uchunguzi ufanyike tena ni familia yake tu. Hapa tuna bidi tuconsider matakwa ya familia siyo kudai vitu tu just because it cures our curiosity. Sokoine hata rudi tena na milele itabaki mawazo ya "what could have been". Kama ni kuchunguza ni kwa faida ya nani? Na tukisha pata majibu(iwe kauliwa au ajali) then what? Kuna mdau mmoja huko nyuma alisema kama ni ajali sawa kama ni mkono wa mtu wao wata jibu mashtaka kwa Mungu wao. Personally sikubaliani na kuanza kuchunguza mambo tena bila kujua matakwa ya familia yake na pia bila kujua uchunguzi utaleta faida gani na kwa nani. R.I.P. ES
team up between KAWAWA and CLEOPA...succession politics ,coupled with ufisadi[uhujumu wa uchumi]....finish!!!....mwalimu hahusiki kabisa...,alilia sana kwa sababu alijuwa amepoteza mrithi ...mafisadi walijuwa msimamo wa sokoine ulikuwa mkali zaidi ya wa mwalimu..wakajuwa akichukua nchi basi...........baada ya sokoine karata ya mwalimu ikaangukia kwa SALIM ...naye pia akapigwa jungu...kilichoendelea sio siiri tena!!
Lakini pia tuangalie kifo chake kichunguzwe ili iweje after all these years? Wenye haki ya kusema maiti yake ifukuliwe au uchunguzi ufanyike tena ni familia yake tu. Hapa tuna bidi tuconsider matakwa ya familia siyo kudai vitu tu just because it cures our curiosity. Sokoine hata rudi tena na milele itabaki mawazo ya "what could have been". Kama ni kuchunguza ni kwa faida ya nani? Na tukisha pata majibu(iwe kauliwa au ajali) then what? Kuna mdau mmoja huko nyuma alisema kama ni ajali sawa kama ni mkono wa mtu wao wata jibu mashtaka kwa Mungu wao. Personally sikubaliani na kuanza kuchunguza mambo tena bila kujua matakwa ya familia yake na pia bila kujua uchunguzi utaleta faida gani na kwa nani. R.I.P. ES.
Mwanajamvi, kwa jinsi ulivyojenga hoja yako ZUIZI utafikiri unajihisi kwamba matokeo ya uchunguzi yataishia kubaini kwamba muuaji ama mpanga mauaji ulikuwa ni wewe au mtu wa karibu na wewe!