KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
CLEOPA DAVID MSUYA ndiye aliye muua Edward Moringe Sokoine?
Sikujua, sasa ndio naanza kuunganisha uzi, sindano na vipande vya kitambaa.
Its real hard...... Very hard,now i don know what to do anymore,may be sokoine's death was planned
Nilikuwa sijazaliwa kukomenti
angejiunga na Slaa kuikomba nchi kutoka mikononi mwa mamba wenye uchu ,
CCM is another mafia,the death of the late Sokoine was staged!this is real unfair!!!!!!!!
Simple, Kawawa ndiyo alihusika na mpango mzima, kisa kikubwa ni Sokoine wakati ule just 45 + kupendwa zaidi na mwalimu, ni wivu tu. maskini familia ya sokoine ikatelekezwa, mwanaye wa kike ambaye aliibuka kidogo naye akapotezwa.
Mwalimu hakuhusika na tukio hili, alilia sana, na kuna mazingira ambayo yanaashiria mwalimu hakuhusika, Dr Shaba alisema kabisa kwamba jamaa aliuawa kwa risasi, na kama mnabisha tafuteni habari hizi pale muhimbili kama mna jamaa wa karibu sana na Dr. Shaba atawaambia.
wachangiaji wengi hawakuwa tumezaliwa ila sema tu ni wewe hukutaka kufuatilia na kujua ukweli kwamba waziri mkuu wako mchapakazi ever katika nchi hii alifanya nini na mauti yalimkutaje?
CCM is another mafia,the death of the late Sokoine was staged!this is real unfair!!!!!!!!
bado ni kazi kweli kujenga hoja ya kuuliwa..
a. Unahitaji coordination ya hali ya juu sana kumuua Waziri Mkuu wa Nchi
b. Unahitaji utii wa hali ya juu sana kuweza kuficha ushahidi wote (siyo sehemu tu ya ushahidi huo)
c. Unahitaji utaalamu wa juu kabisa kuweza kufanya watu waamini ajali.
Kama aliuawa masalia yake bado yanabeba ushahidi huo; je tuko tayari afukuliwe na kuangaliwa kuona kama kuna alama za risasi? Zisipoonekana nadharia mpya itakuja kuwa aliuawa kwa sumu akiwa amelala, na wakichunguza na kukuta sumu, watasema alirogwa.. which means case closed.
Ata siraha angemuua kama walivyomuua chacha wangwe akishirikiana na mafia wa kutupwa bwana mboowee ambaye yupo katika harakati za kumuangamizo mzitto kabwela