Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

CLEOPA DAVID MSUYA ndiye aliye muua Edward Moringe Sokoine?
Sikujua, sasa ndio naanza kuunganisha uzi, sindano na vipande vya kitambaa.
 
CLEOPA DAVID MSUYA ndiye aliye muua Edward Moringe Sokoine?
Sikujua, sasa ndio naanza kuunganisha uzi, sindano na vipande vya kitambaa.

mkuu.... wacha tu ... list ni kubwa ya hao walio mtoa huyu mmasai.. tena mmasai original sio EL Mmeru muhamiaji wa monduli...
 
Sokoine ongea kaburini lowasa asikie kuhusu ufisadi au naye alikuua nini?
 
Simple, Kawawa ndiyo alihusika na mpango mzima, kisa kikubwa ni Sokoine wakati ule just 45 + kupendwa zaidi na mwalimu, ni wivu tu. maskini familia ya sokoine ikatelekezwa, mwanaye wa kike ambaye aliibuka kidogo naye akapotezwa.

Mwalimu hakuhusika na tukio hili, alilia sana, na kuna mazingira ambayo yanaashiria mwalimu hakuhusika, Dr Shaba alisema kabisa kwamba jamaa aliuawa kwa risasi, na kama mnabisha tafuteni habari hizi pale muhimbili kama mna jamaa wa karibu sana na Dr. Shaba atawaambia.
 
Its real hard...... Very hard,now i don know what to do anymore,may be sokoine's death was planned

ni kweli kifo cha sokoine kilipangwa kama ilivyokuwa kwa kifo cha chacha wangwe shujaa wetu aliyopingana na uongozi wa juu wa chadema na hatimae yakamtokea yaliyomtokea!
 
Kwa wale wafuatiliaji ni wivu tu wa kufunikwa ki utendaji ni kama yale ya DR. Auko wa Kenya, ingawa yeye aliuwa wazi wazi na serikali ya moi.
 
Nilikuwa sijazaliwa kukomenti

wachangiaji wengi hawakuwa tumezaliwa ila sema tu ni wewe hukutaka kufuatilia na kujua ukweli kwamba waziri mkuu wako mchapakazi ever katika nchi hii alifanya nini na mauti yalimkutaje?
 
angejiunga na Slaa kuikomba nchi kutoka mikononi mwa mamba wenye uchu ,

Ata siraha angemuua kama walivyomuua chacha wangwe akishirikiana na mafia wa kutupwa bwana mboowee ambaye yupo katika harakati za kumuangamizo mzitto kabwela
 
CCM is another mafia,the death of the late Sokoine was staged!this is real unfair!!!!!!!!

hili halikuwa suala la chama bali ni suala la huyo mnayetaka kuumpa utakatifu na kutulazimisha kumuita baba wa taifaa. mchonga alifunikwa kwa kuua soo akaona awatumie wasauzi na wamsumbiji kumuua yero
 
Simple, Kawawa ndiyo alihusika na mpango mzima, kisa kikubwa ni Sokoine wakati ule just 45 + kupendwa zaidi na mwalimu, ni wivu tu. maskini familia ya sokoine ikatelekezwa, mwanaye wa kike ambaye aliibuka kidogo naye akapotezwa.

Mwalimu hakuhusika na tukio hili, alilia sana, na kuna mazingira ambayo yanaashiria mwalimu hakuhusika, Dr Shaba alisema kabisa kwamba jamaa aliuawa kwa risasi, na kama mnabisha tafuteni habari hizi pale muhimbili kama mna jamaa wa karibu sana na Dr. Shaba atawaambia.

si kweli kaka umelishwa sumu, kweli kipenda roho ula nyama mbichi, nyenyere ndiye aliyepanga kifo cha sokoinee, na hili halina ubishi.

sokoinee hakufa ajalini, alisave lakini alimaliziwa kwa risasi na ukitaka ukweli muulize prof. david mwakyusa ambaye alimfanyia postmortem. nyii mpeni tu huo utakatifu lakini hamna kitu ni silent killer mkubwa yule. mnamfanya kama mungu kumbe hamna kitu na sasa nayeye anaungua kaburini.
 
wachangiaji wengi hawakuwa tumezaliwa ila sema tu ni wewe hukutaka kufuatilia na kujua ukweli kwamba waziri mkuu wako mchapakazi ever katika nchi hii alifanya nini na mauti yalimkutaje?

s4 alipouawa nilikuwa kidato cha 1, nakumbuka familia moja ilifanya tafrija. Binafsi naamini S4 bado yu nasi(spiritualy) ila mafisadi wamechakachua.
 
Ingawa namuheshimu baba wa taifa kwa mazuri aliyofanya lakini I believe he is not a saint and does not deserve to be one.

Kama alihusika sitashangaa sana maana kuna tabia fulani fulani alizokua akizifanya zinanifanya nisishangae kwa hilo. He was not "The" person people believe he was although he did a lot to our country" Kama mtakumbuka alivyofariki baada ya muda kupita, marehemu bibi Titi kwenye kikao cha UWT alizungumzia negative side za Nyerere katika kuwapa changamoto wanawake, lakini nafikiri alitoa too much info that day ya mambo ambayo wengi tulikua hatujui.

I guess tuachie hapo maana wanasema si vizuri kuzungumzia marehemu .
 
CCM is another mafia,the death of the late Sokoine was staged!this is real unfair!!!!!!!!

Just curious hivi uchunguzi wa kifo cha Prof Mwaikusa kimefikia wapi? How about Mkemia wa serikali? Mwenye info please
 
Tulijiulize kwanini CCM walichukua ndege ya Serikali na kumfanya Sokoine aje kwa njia ya barabara na kama haitoshi basi Nyerere asingeruhusu Sokoine aruhusu Sokoine aondoke kwa magari angesubiri ndege irudi ndipo marehemu aondoke kwa ndege.

Basi kwa ufahamu huo inaonyesha kuwa Serikali ya mchonga meno ilikubali ule mpango wa kumwa-assassinate mmasai na kwa lengo la kuusimamisha ule mpango wa kupigana na uhujumu uchumi ambao yenye sokoine alikuwa mwiba kwa mafisadi wa nyakati hizo.

Lakini swali linakuja kweli Tanzania tumefikia hapo tulipo na usalama wa taifa wanafanya nini nchi inapoteza dira na kupoteza viongozi walio wema sana na sasa tumempoteza Lyatonga Mrema, ambaye alikuwa kinara wa kupambana na ujambazi na madudu ya kila wizara mpaka akapewa nafasi ya Unaibu Waziri Mkuu kwa ajili ya kukemea uchafu wa kila wizara. Kwahiyo basi wadilifu hawa wawili tumewapoteza mmoja marehemu na mwingine tumempoteza siyo mpigania haki tena bali anaishia kwenye vyama vya upinzania ambako upinzani hauna nguvu katika kupania haki za walala hoi. Where are we taking this country to the civil war?

If not then Rostam and other non-citizens should be removed from Tanzania not cause more harm to Tanzanians by any means possible and not to create guerrillas because of hardships.
 
Hii thread imenipa habari ambazo nilikuwa sizijui.....!!
 
bado ni kazi kweli kujenga hoja ya kuuliwa..

a. Unahitaji coordination ya hali ya juu sana kumuua Waziri Mkuu wa Nchi

b. Unahitaji utii wa hali ya juu sana kuweza kuficha ushahidi wote (siyo sehemu tu ya ushahidi huo)

c. Unahitaji utaalamu wa juu kabisa kuweza kufanya watu waamini ajali.


Kama aliuawa masalia yake bado yanabeba ushahidi huo; je tuko tayari afukuliwe na kuangaliwa kuona kama kuna alama za risasi? Zisipoonekana nadharia mpya itakuja kuwa aliuawa kwa sumu akiwa amelala, na wakichunguza na kukuta sumu, watasema alirogwa.. which means case closed.


Tanzania kuna kundi la watu wanaotawala nchi, wao ndio wanaoamaua nini kifanyike, nani aishi na nani asiishi. I am in favour of conspiracy theory that Sokoine was killed, do not tell me why. It is ridiculous to say he was killed in car accident, haikuwa ajali ya kusababisha kifo.

Kuna watu wengi tu Tanzania wameuawa, na wengine watauawa, kwa sababu nzuri tu na kwa sababu mbaya. lakini hata tukijua ukweli, nothing will happen.
 
I will never believe kama mchonga anaweza kufanya hayo. Mnachofanya nyie ni kuunganisha matukio yasiyo hata na mahusiano ya kiukweli na hali halisi.

Mnapata dhambi. Mnaweza kuniambia kama mwl alishiriki kifo cha s4 ni kwa sababu zipi? Hakika hakuna hata 1. Asumptions! Jamani kuna watu wangeweza kuunganishwa na tukio hilo but hakika not mwalimu. Nakumbuka alitoa speech ambayo nahisi alikuwa akitoa machozi.

Lilikuwa ni jembe lake la uhakika. Wapo walofanya hayo na wengine wamekufa miaka michache iliyopita au muda mchache ulopita na wengine wapo mafisadi wa wakati ule wanasherehekea b...d...!msiwe wepesi wa kutoa matamko yasiyo na ukweli jamani.
 
mie ningependa pia kujua kuhusu Sheikh Abeid Karume kifo chake ,na chenyeewe kilikua Planned
 
Ata siraha angemuua kama walivyomuua chacha wangwe akishirikiana na mafia wa kutupwa bwana mboowee ambaye yupo katika harakati za kumuangamizo mzitto kabwela

toa upuuzi wako hapa/una hata datamoja kumtuhumu huyo bwana, au unakurupuka toka kwenye kahawa.com
 
Kwa mtazamo wangu finyu,

Sokoine alikufa kifo ama cha ajali ya kawaida au cha kuuliwa na wahujumu uchumi (mafisadi) Mwl, na hakika hakuusika,,,, maana sera zote za Sokoine zilikuwa planned na Mwalimu na Sokoine alikuwa mtendaji mkuu/msimamizi na mtii amri wa mwalimu.

Hakuna hata moja mwalimu ambalo angemuonea wivu Sokoine, kama ni umaarufu wa kuchukuwa kiti cha urais, mbona alimwachia Mwinyi mwaka mmoja baada ya Sokoine kufa, so hapo hoja ya kufunikwa kiumaarufu si kweli, angekuwa hai Mwalimu alikuwa tayari kumwachia nchi.
 
Back
Top Bottom