Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

Wacha Sokoine! Je mnamkumbuka mtu mmoja alikua anaitwa Horace Kolimba naye alipotea kwenye mazingira ya kutatanisha!
 
huyu EL mmemwandama hivi jamani? Pasco uko wapi uje utetee mtu wako hapa maana naona raia wanazidi kumpa kashfa!
 
Dah,kanali Shija nakumbuka alifia kilima nyege masaki akitokea muhalibwa pub kupata mbili tatu usiku,utata mtupu
 
Chanzo cha ajali iliyokosakosa kumuua MWAKYEMBE ndio chanzo cha ajali iliyomuua SOKOINE tofauti na wahusika tu waliomuua sokoine nao wamekufa ila waliotaka kumuua Mwakyembe wako hai.
 
Alikuwa awe raisi wa tanzania baada ya nyerere

nakumbuka na mwimbo wake baada ya kifo uliliza watanzania

nakumbuka shuleni watu tuliudhunika sana hata tulikuwa tunaruhusiwa kusikiliza redio kupata updates shule hiyo ni day primary school.

Mungu amlaze pema peponi

aliuawa as sidhani kama mpaka leo ukweli ulitoka. Angepigiwa kura mmasai wetu angepata asilimia 99.9% alipendwa na watu kwa kuwa waziri mkuu tu
 
jamani embu mtujuze ukweli kuhusu kifo cha edward moringe sokoine wengine ndiyo tulikuwa wadogo wengine hata kuzaliwa ilikuwa bado wenye kufahamu watujuze

Ukweli ni kwamba Mungu alimpenda zaidi!
 
Wacha Sokoine! Je mnamkumbuka mtu mmoja alikua anaitwa Horace Kolimba naye alipotea kwenye mazingira ya kutatanisha!

na mengi aliyokuwa akipingana nayo ndo hawa jamaa wakayafanya baada ya kifo chake.Lakini km kumbukumbu zangu ziko sawa HK aliondoka kwnda exile.
 
huyu EL mmemwandama hivi jamani? Pasco uko wapi uje utetee mtu wako hapa maana naona raia wanazidi kumpa kashfa!

Kashfa kapewa au amezitafuta mwenyewe wakati akijitaftia maslahi yake
 
Chanzo cha ajali iliyokosakosa kumuua MWAKYEMBE ndio chanzo cha ajali iliyomuua SOKOINE tofauti na wahusika tu waliomuua sokoine nao wamekufa ila waliotaka kumuua Mwakyembe wako hai.

Mwakyembe si ni sumu?au na yy aliundiwa zengwe la ajari kabla hajatiliwa sumu kwnye..................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…