Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Huenda bila mashirikiano mema ya Tanzania na Marekani bwana Trump asingeshinda u Rais wa Amerika.
Kwalo, juhudi binafsi za ukuaji wa demokrasia ndani ya Utawala wa Samia zimeufanya ulimwengu uone na kuiga mengi mema yanayofanywa na mama hali inayopelekea hata wao kujifunza kutoka kwake.
Ushindi wa Trump unaakisi sera nzuri za mama za uwekezaji kwenye miradi mbalimbali yenye tija kwa Watanzania.
Ushindi wa Trump umechangizwa na namna mama anavyoendelea kuwaletea maendeleo wananchi.
Nani kama mama ndugu zangu!?