Pre GE2025 Tunamshukuru Rais Samia kwa ushindi wa Trump

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huenda bila mashirikiano mema ya Tanzania na Marekani bwana Trump asingeshinda u Rais wa Amerika.

Kwalo, juhudi binafsi za ukuaji wa demokrasia ndani ya Utawala wa Samia zimeufanya ulimwengu uone na kuiga mengi mema yanayofanywa na mama hali inayopelekea hata wao kujifunza kutoka kwake.

Ushindi wa Trump unaakisi sera nzuri za mama za uwekezaji kwenye miradi mbalimbali yenye tija kwa Watanzania.

Ushindi wa Trump umechangizwa na namna mama anavyoendelea kuwaletea maendeleo wananchi.

Nani kama mama ndugu zangu!?
Umesahau kumalizia na
Lucas Mwashambwa
inapendeza zaidi
 
Huenda bila mashirikiano mema ya Tanzania na Marekani bwana Trump asingeshinda u Rais wa Amerika.

Kwalo, juhudi binafsi za ukuaji wa demokrasia ndani ya Utawala wa Samia zimeufanya ulimwengu uone na kuiga mengi mema yanayofanywa na mama hali inayopelekea hata wao kujifunza kutoka kwake.

Ushindi wa Trump unaakisi sera nzuri za mama za uwekezaji kwenye miradi mbalimbali yenye tija kwa Watanzania.

Ushindi wa Trump umechangizwa na namna mama anavyoendelea kuwaletea maendeleo wananchi.

Nani kama mama ndugu zangu!?
Dr SSH ni mwanadiplomasia mzuri sana tumpe mtu maua yake akiwa hai siyo unafiki wakati hayupo duniani......Kidumu Chama dume Cha Mapinduzi.👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom