Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Mseke mzee sio wachaga wa marangu ??John making sio wa kaskazin kwao geita huko
gu mmoja alinipinga sana hadi nkajihisi au kweli sijui muzikiMimi ni mmoja wa mashabiki wa msanii Joh makini tangu anatoka akitengenezwa kuja kuchuana na msanii mwenye kipaji kuliko wote bongo (Chid benz).
Mwamba wa kaskazini alitikisa anga la mziki na kila mkwaju alioachia ulikuwa wa Moto ndio maana alipojiita Tz Jay z sikumbishia sana.
Nakumbuka ngoma zake kama Mfalme,Hao,muda,sijutii,Stimu zimelipiwa,Show za Joh,Kilimanjaro n.k, collabo alizopiga akangaa kama utaipenda ya Hussein machozi na nyinginezo.
Huyu Joh makini wa Weusi simuelewi kabisa yaan amepwaya katika uandishi kuliko zaman, hatumuoni kama Hip hop icon wa kaskazini yaani anakoelekea haeleweki kabisa.
Chondechonde tunamhitaj Joh Makini wa Hao, huyu wa madaraka,Nicome ndugu zake njooni mumchukue.
Huyo Nick sijui huwa anaimba nini.... Sio msanii kabisaYeah unaitwa Kata Leta...Frankly speaking mm sikuupenda hata siusukilizi sujui wadau wengine.Ila najua Nick huwa anapitia humu Jf achukue hizi changamoto wakazifanyie kazi ili waendelee kuwepo kwenye industry.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie wabongo mna majungu sn wakipotea kwenye game mnaanza kuwacheka ....soko la muziki likienda hata kwenye singeli na wao wakomae vingine wakipotea ndio wamepoteaJay Moe naye namuona anaanza kuja taratiibu ndani ya vibinda na muda si mrefu ataanza kudinda.
Nampenda young Killer Msodoki, kuanzia uandishi, anavorap, nikisikia ile sauti Yani ndo mweee,sijui kamenifanyaje haka kabwanamdogo"Wanasema Joh anabebwa" in Young killer Voice
Jay moe hata nyimbo ya kuparty anaandika sana alaf yule chochote akifnya ktk mzki huwa kinaskika vizur tuJay Moe naye namuona anaanza kuja taratiibu ndani ya vibinda na muda si mrefu ataanza kudinda.
Mkuu naomba tafsiri hapo mwisho tafadharihawezi kuwa yule maana wakati nao sio ule and kibongo.. he's in mainstream, what do you expect.
now days music is about fan, full of enthuasiasm, great beat and catchy lyrics.
Haina tofauti na Nampa PAPA wa gigi money.Ila ni come ni ngoma Kali kiukweli mim naikubali yaan wametulia zile vocal
Yaani katika woote we ndo umeandika ukweli mkuu, kwangu mimi Joh bado yuko vizuri, anaakili nyingi sana huyu jamaa, anajua kuenda na wakati, ni Mfalme wa kuswitch na flows, anafanya mziki biashara ..... Na kama watu wangekuwa wanapenda Hip Hop ya kuelimisha basi TAMADUNI MUSIC GENERALLY WANGEKUWA MAMILIONEA, pia NASH MC na wengine wengi ambao wanaandika vizuri na kuwakilisha matatizo ya jamii, lakini watu wamejaa UNAFIKI, wanasifia UKALI kwa maneno lakini hawasapoti chochote kwa vitendo, imagine mtu anasifiwa mkali lakini anakufa njaa mtaani, afanye nini na mziki ndio maisha yake? Acheni waswitch vijana, MZIKI BIASHARA!Hakuna mashabiki wanafki kama wa Hip Hop ngumu, watakuambia we unaweza ila andaa show uone utachokipata.