Tunamuhitaji Mkude huko Kigoma

Tunamuhitaji Mkude huko Kigoma

Mario Kejob

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
441
Reaction score
536
Yes ni mtovu wa nidhamu lakini tunamuhitaji kwenye mechi ya fainali ya FA tarehe 25/7/2021 huko Kigoma.

Mkude anajua kucheza hizi mechi za Derby ya Kariakoo ukilinganisha na hawa wachezaji wa kigeni ambao hawajuwi maudhi ya kufungwa kwenye Derby na huuchukulia mchezo huo ni kama mechi tu ya kawaida.

Derby kubwa sio asili yao na kejeli na utani mitaani hawavijui na wenyewe wanachojali ni kulipwa tu kitita chao wasepe. Wachezaji wazawa ndio wanaelewa maana ya Derby na utakuta upenzi wao wa vilabu hivi umerithishwa kama sisi wengine.

Naongea hivi nikitambua kuwa kwenye derby Mkude hujitoa kwa asilimia 100 na hivyo apewe third chance na final ili atoe mchango wake kwenye mechi hiyo.

Bottom line suala la nidhamu kwa wachezaji liko pale pale na Simba ni kubwa kuliko mtu yeyote iwe mchezaji, kocha, mpenzi na hata mdhamini.

FREE MKUDE NOW.
 
Utakuwa ni uamuzi wa kijinga kumrudisha Mkude eti kwa ajili ya Derby, Nyoni aliyepotea majuzi yeye si mzawa, vipi Tshabalala aliyekuwa anapelekwa puta pia na Kisinda?

Mkude ameitumikia Simba kwa mafanikio, tumshukuru ila safari yake ndio imeishia mwaka huu, kuvumilia utovu wa nidhamu ni kukaribisha matatizo kwenye klabu.
 
Kule Kigoma kwa kauli ya mzee mpili mwenyewe anasema Nyuklia zitakuwa zakutosha.
Huyu mzee hana lolote, amepata sifa kwa kubahatisha tuu hana tofauti na mtu ale BET.

Huu umaarufu utakwisha kwa haraka kama Dr. Shika
 
Amebahatisha kitu gani? Yaani wewe nawe kwa akili zako timamu, unaamini Yanga wameshinda kwasababu ya huyo mzee? Kuna uthibitisho upi ukionesha hilo zaidi ya porojo tu zake za kuongea ili kutafuta umaarufu kipiitia derby?
 
Yes ni mtovu wa nidhamu lakini tunamuhitaji kwenye mechi ya fainali ya FA tarehe 25/7/2021 huko Kigoma.

Mkude anajua kucheza hizi mechi za Derby ya Kariakoo ukilinganisha na hawa wachezaji wa kigeni ambao hawajuwi maudhi ya kufungwa kwenye Derby na huuchukulia mchezo huo ni kama mechi tu ya kawaida.

Derby kubwa sio asili yao na kejeli na utani mitaani hawavijui na wenyewe wanachojali ni kulipwa tu kitita chao wasepe. Wachezaji wazawa ndio wanaelewa maana ya Derby na utakuta upenzi wao wa vilabu hivi umerithishwa kama sisi wengine.

Naongea hivi nikitambua kuwa kwenye derby Mkude hujitoa kwa asilimia 100 na hivyo apewe third chance na final ili atoe mchango wake kwenye mechi hiyo.

Bottom line suala la nidhamu kwa wachezaji liko pale pale na Simba ni kubwa kuliko mtu yeyote iwe mchezaji, kocha, mpenzi na hata mdhamini.

FREE MKUDE NOW.

Mechi ya msimu uliopita ambayo Simba ilifungwa na Yanga bao 1 kwa 0 (Goli la Morisson) Mkude alicheza, hii unaizungumziaje mkuu ukiwianisha na huu uzi wako ?
 
Yes ni mtovu wa nidhamu lakini tunamuhitaji kwenye mechi ya fainali ya FA tarehe 25/7/2021 huko Kigoma.

Mkude anajua kucheza hizi mechi za Derby ya Kariakoo ukilinganisha na hawa wachezaji wa kigeni ambao hawajuwi maudhi ya kufungwa kwenye Derby na huuchukulia mchezo huo ni kama mechi tu ya kawaida.

Derby kubwa sio asili yao na kejeli na utani mitaani hawavijui na wenyewe wanachojali ni kulipwa tu kitita chao wasepe. Wachezaji wazawa ndio wanaelewa maana ya Derby na utakuta upenzi wao wa vilabu hivi umerithishwa kama sisi wengine.

Naongea hivi nikitambua kuwa kwenye derby Mkude hujitoa kwa asilimia 100 na hivyo apewe third chance na final ili atoe mchango wake kwenye mechi hiyo.

Bottom line suala la nidhamu kwa wachezaji liko pale pale na Simba ni kubwa kuliko mtu yeyote iwe mchezaji, kocha, mpenzi na hata mdhamini.

FREE MKUDE NOW.
Mkude mwenyewe ameshajikatia tamaa ya kucheza mpira,ameamua kujinywe zake konyagi,kuvuta ndumu na kujirusha na mijimama iliyosheheni makalio.
 
Kaanzishe timu yako umsajili Mkude hii Simba haiendeshwi kwa majina,umaarufu wala kwa matukio hapa nidhamu tu.
 
Yes ni mtovu wa nidhamu lakini tunamuhitaji kwenye mechi ya fainali ya FA tarehe 25/7/2021 huko Kigoma.

Mkude anajua kucheza hizi mechi za Derby ya Kariakoo ukilinganisha na hawa wachezaji wa kigeni ambao hawajuwi maudhi ya kufungwa kwenye Derby na huuchukulia mchezo huo ni kama mechi tu ya kawaida.

Derby kubwa sio asili yao na kejeli na utani mitaani hawavijui na wenyewe wanachojali ni kulipwa tu kitita chao wasepe. Wachezaji wazawa ndio wanaelewa maana ya Derby na utakuta upenzi wao wa vilabu hivi umerithishwa kama sisi wengine.

Naongea hivi nikitambua kuwa kwenye derby Mkude hujitoa kwa asilimia 100 na hivyo apewe third chance na final ili atoe mchango wake kwenye mechi hiyo.

Bottom line suala la nidhamu kwa wachezaji liko pale pale na Simba ni kubwa kuliko mtu yeyote iwe mchezaji, kocha, mpenzi na hata mdhamini.

FREE MKUDE NOW.
Mkude kasaini yanga
 
Back
Top Bottom