Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Yes ni mtovu wa nidhamu lakini tunamuhitaji kwenye mechi ya fainali ya FA tarehe 25/7/2021 huko Kigoma.
Mkude anajua kucheza hizi mechi za Derby ya Kariakoo ukilinganisha na hawa wachezaji wa kigeni ambao hawajuwi maudhi ya kufungwa kwenye Derby na huuchukulia mchezo huo ni kama mechi tu ya kawaida.
Derby kubwa sio asili yao na kejeli na utani mitaani hawavijui na wenyewe wanachojali ni kulipwa tu kitita chao wasepe. Wachezaji wazawa ndio wanaelewa maana ya Derby na utakuta upenzi wao wa vilabu hivi umerithishwa kama sisi wengine.
Naongea hivi nikitambua kuwa kwenye derby Mkude hujitoa kwa asilimia 100 na hivyo apewe third chance na final ili atoe mchango wake kwenye mechi hiyo.
Bottom line suala la nidhamu kwa wachezaji liko pale pale na Simba ni kubwa kuliko mtu yeyote iwe mchezaji, kocha, mpenzi na hata mdhamini.
FREE MKUDE NOW.